Onyo
Mafuta na mvuke wake unaweza kuwaka moto haraka sana na kulipuka.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha majeraha mabaya ya moto au kifo.
Kuingiza kwa Mafuta
Wakati wa Kuhifadhi Mafuta Au Kifaa Kilicho na Mafuta Kwenye Tangi
• Hifadhi mbali na tanuu, stovu, hita za kuchemshia maji, au vitu vingine ambavyo
vina taa za moto au vyanzo vya mwako kwa sababu vinaweza kuwasha mivuke ya
mafuta.
Unapohifadhi Kifurushi cha Betri
• Hakikisha chaja ya betri ni kavu. Usiweke kifurushi cha betri kwenye mvua au
unyevunyevu.
Mfumo wa Mafuta
Tazama Kielelezo: 20, 21
Kumbuka: Miundo mingine ina tangi la mafuta la uhifadhi wima ambao unaruhusu injini
kuinama kwa ajili ya udumishaji au uhifadhi (C, Kielelezo 20). Usihifadhi ikiwa wima
wakati tangi la mafuta limejaa kupita kiwango cha alama ya kiwango cha mafuta (D),
iwapo ipo. Kwa maagizo zaidi, tazama mwongozo wa kifaa.
Hifadhi kiwango cha injini (mkao wa kawaida wa kuendesha). Jaza tangi la mafuta (A,
Kilelezo 21) kwa mafuta. Ili kuruhusu uvukizi wa mafuta, usijaze kupita chini ya shingo
ya tangi la mafuta (B).
Mafuta yanaweza kuharibika yanapohifadhiwa katika kontena ya uhifadhi kwa zaidi ya
siku 30. Kila mara unapojaza kontena kwa mafuta, ongeza kiimarishaji mafuta kwenye
mafuta kama ilivyobainishwa na maagizo ya mtengenezaji. Hii inafanya mafuta kukaa
yakiwa safi na kupunguza matatizo yanayohusiana na mafuta au uchafu katika mfumo
wa mafuta.
Si lazima umwage mafuta kutka kwenye injini wakati kiimarishaji mafuta kinapoongezwa
kama ilivyoagizwa. Kabla ya kuendesha, WASHA injini kwa dakika 2 ili kueneza mafuta
na kiimarishaji kote kwenye mfumo wa mafuta.
Oili ya Injini
Wakati injini bado ina joto, badilisha oili ya injini. Tazama sehemu ya Badilisha Oili .
Kwa miundo ya Just Check & Add™ hauhitaji kubadilisha oili.
Kifurushi cha Betri na Chaja
Tazama Kielelezo: 22 23
Betri inayobebeka: Ikiwa haitumiki, tenganisha chaja na uhifadhi katika eneo lisilo
na joto, na lililokauka. Maeneo yenye unyevu yanaweza kusababisha kutu kwenye
ncha za betri na za umeme. Ikihifadhiwa kwa vipindi virefu katika mazingira yenye
joto la juu (120° F / 49° C), betri inaweza kuharibika kabisa. Kagua ncha za betri na
sehemu za umeme kwenye betri na chaja. Safisha kwa kitambaa safi au puliza kwa
hewa iliyobanwa.
Baada ya kuhifadhi, Huenda ikahitajika kuchajiwa kwa kawaida. Ili kukagua kiwango cha
chaji, bonyeza kitufe cha Geji ya Betri (E, Kielelezo 22 23) na uchaji ikihitajika. Tazama
sehemu ya Geji ya Betri .
Utafutatuzi
Kwa usaidizi, wasiliana na mhudumu wa karibu au nenda kwenye
BRIGGSandSTRATTON.com au piga 1-800-233-3723 (Marekani).
Maelezo
Muundo: 090000
Unyonyaji Mafuta
Shimo
Mpigo
Kiwango cha Oili
Pengo la Plagi ya Spaki
Mkufu wa Plagi ya Spaki
Pengo la Hewa
Mwanya wa Vali ya Kuingiza Hewa
Mwanya wa Vali ya Ekzosi
Muundo: 093J00
Unyonyaji Mafuta
8.64 ci (140 cc)
2.495 in (63,4 mm)
1.75 in (44,45 mm)
15 oz (,44 L)
.020 in (,51 mm)
180 lb-in (20 Nm)
.006 - .014 in (,15 - ,36 mm)
.004 - .008 in (,10 - ,20 mm)
.004 - .008 in (,10 - ,20 mm)
9.15 ci (150 cc)
Muundo: 093J00
Shimo
Mpigo
Kiwango cha Oili
Pengo la Plagi ya Spaki
Mkufu wa Plagi ya Spaki
Pengo la Hewa
Mwanya wa Vali ya Kuingiza Hewa
Mwanya wa Vali ya Ekzosi
Muundo: 100000
Unyonyaji Mafuta
Shimo
Mpigo
Kiwango cha Oili
Pengo la Plagi ya Spaki
Mkufu wa Plagi ya Spaki
Pengo la Hewa
Mwanya wa Vali ya Kuingiza Hewa
Mwanya wa Vali ya Ekzosi
Betri ya Lithium-Ion (Inayobebeka)
Betri ya Lithium-Ion
Dakika za Chaji
Mkondo Umeme wa Kuchaji
Ingizo la Chaji (AC) (Tofauti)
Halijoto ya Uendeshaji
Betri ya Lithium-Ion (Iliyowekwa Ndani)
Betri ya Lithium-Ion
Dakika za Chaji
Mkondo Umeme wa Kuchaji
Ingizo la Chaji (AC) (Tofauti)
Halijoto ya Uendeshaji
Nguvu ya injini utapungua kwa 3.5% kwa kila futi 1,000 (mita 300) juu ya mwinuko
wa bahari na 1% kwa kila 10° F (5.6° C) juu ya 77° F (25° C). Injini itaendesha kwa
kuridhisha katika pembe ya hadi 15°. Rejelea mwongozo wa mwendeshaji ili kufahamu
viwango salama vinavyoruhusiwa kwenye miteremko.
Sehemu za Udumishaji -
Miundo: 090000, 093J00, 100000
Sehemu za Udumishaji
Chujio la Hewa (tazama Kielelezo 19)
Chujio la Hewa, Kisafishaji Hewa cha Awali (tazama
Kielelezo 19)
Oili - SAE 30
Kizuizi cha Plagi ya Spaki (Muundo 090000, 093J00)
Kizuizi cha Plagi ya Spaki (Muundo 100000)
Kifaa cha Kutega Plagi ya Spaki
Kifaa cha kujaribu Spaki
Betri Inayobebeka ya Lithium-Ion (Marekani / Kanada)
Betri Inayobebeka ya Lithium-Ion (Umoja wa Ulaya /
Uingereza / Australia)
Chaja ya Betri Inayobebeka ya Lithium-Ion (Marekani /
Kanada)
Chaja ya Betri Inayobebeka ya Lithium-Ion (Umoja wa Ulaya)
Chaja ya Betri Inayobebeka ya Lithium-Ion (Uingereza)
Chaja ya Betri Inayobebeka ya Lithium-Ion (Australia)
2.583 in (65,60 mm)
1.75 in (44,45 mm)
15 oz (,44 L)
.020 in (,51 mm)
180 lb-in (20 Nm)
.006 - .014 in (,15 - ,36 mm)
.004 - .008 in (,10 - ,20 mm)
.004 - .008 in (,10 - ,20 mm)
9.93 ci (163 cc)
2.668 in (68,28 mm)
1.75 in (44,45 mm)
15 oz (,44 L)
.030 in (,76 mm)
180 lb-in (20 Nm)
.006 - .014 in (,15 - ,36 mm)
.004 - .008 in (,10 - ,20 mm)
.004 - .008 in (,10 - ,20 mm)
10.8 V (10,8 V)
60
2 AMP (2 AMP)
100 - 240 V
32 - 113° F (0 - 45° C)
10.8 V (10,8 V)
240
.5 AMP (.5 AMP)
100 - 240 V
32 - 104° F (0 - 44° C)
Nambari ya
Sehemu
593260
594055
100005
692051
594056
19576
19368
593559
593560
593561
593562
593576
594501
53