• Hakikisha chaja ya betri ni kavu. Usiweke betri kwenye mvua au unyevunyevu.
Kabla ya Kufanya Marekebisho Au Ukarabati
• Miundo iliyo na betri inayobebeka: Ondoa betri kwenye trei ya betri ya injini.
• Miundo iliyo na betri iliyowekwa ndani: Tenganisha nyaya na mota ya
kuanzisha.
Onyo
Kemikali za betri zina sumu na babuzi.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha majeraha mabaya ya kuchomeka au
kifo.
• Usiwahi kuchoma au kuharibu kwa kuchoma betri zilizotupwa au kutumika kwa
sababu zinaweza kulipuka. Mafusho na nyenzo zenye sumu zinaundwa betri
zinapochomwa.
• Usitumie betri ambayo imepondwa, imeangushwa, au kuharibika.
Vipengele na Vidhibiti
Vidhibiti vya Injini
Linganisha michoro (Kielelezo: 1, 2, 3) na injini yako ili kufahamu maeneo ya vipengele
na vidhibiti mbalimbali.
A.
Nambari Tambulishi za Injini Muundo - Aina - Msimbo
B.
Plagi ya Spaki
C.
Mafla, Kilinda Mafla (iwapo kipo), Kishika Spaki (iwapo kipo)
D.
Kianzishi cha Umeme
E.
Kifaa cha Kupima Oili
F.
Betri Inayobebeka ya Lithium-Ion
G.
Grili ya Kuingiza Hewa
H.
Tangi na Kifuniko cha Mafuta
I.
Kisafishaji Hewa
J.
Kidhibiti Injini (iwapo kipo)
K.
Chaja ya Betri - Betri Inayobebeka
L.
Vali ya Kufungia Mafuta (iwapo ipo)
M.
Betri Iliyowekwa Ndani ya Lithium-Ion
N.
Kebo na Chaja - Betri Iliyowekwa Ndani
Ishara za Kudhibiti Injini na Maana
Kasi ya injini - HARAKA
Kasi ya injini - SIMAMA
Kuwasha injini - Choki
IMEFUNGWA
Kifuniko cha Mafuta
Kizima fueli -
KILICHOFUNGULIWA
Kiwango cha mafuta -
Upeo
Usijaze kupita kiasi
48
Alama za Kudhibiti Betri na Maana Yake
Uendeshaji
Mapendekezo ya Oili
Kiwango cha Oili: Tazama sehenmu ya Vipimo.
Kasi ya injini - POLEPOLE
Tunapendekeza matumizi ya oili Zilizoidhinishwa na Hakikisho la Briggs & Stratton
kupata utendakazi bora. Oili nyingine za usafishaji zinakubalika ikiwa zimebainishwa
kwa huduma ya SF, SG, SH, SJ au ya juu zaidi. Usitumie vitegemezi maalum.
Hali joto ya nje inabainisha mnato sahihi wa oili kwa injini. Tumia chati kuchagua mnato
bora zaidi kwa hali joto ya nje inayotarajiwa. Injini katika vifaa vingi vya nje zinafanya
WASHA - ZIMA
kazi vyema zikitumia oili ya 5W-30 Synthetic. Kwa vifaa vinavyoendeshwa katika joto la
juu, oili ya Vanguard
Kuwasha injini - Choki
IMEFUNGULIWA
Kizima fueli -
KILICHOFUNGW
Volti
Kuhamiwa Joto Maradufu
Umeme wa DC
Underwriters Laboratories,
Inc. Bidha Iliyosajiliwa
Tumia Betri Tena
Inavyofaa
Notisi
Injini hii ililetwa kutoka Briggs & Stratton bila oili. Watengenezaji au wauzaji vifaa
huenda waliongeza mafuta kwenyeinjini. Kabla ya kuwasha injini kwa mara ya
kwanza, hakikisha umekagua kiwango cha oili na uongeze oili kulingana na maagizo
kwenye mwongozo huu. Iwapo utawasha injini bila mafuta, itaharibika hadi kushindwa
kukarabatiwa na hutafidiwa chini ya udhamini huu.
®
15W-50 Synthetic inatoa ulindaji bora.
Ampea
Umeme wa AC
Underwriters Laboratories,
Inc. Bidhaa Iliyoorodheshwa
nchini Marekani na Kanada
Hezi
Chaji Betri
Ondoa Ufunguo / Betri
BRIGGSandSTRATTON.com
®
ili