Briggs & Stratton Vanguard 10V000 Manuel D'utilisation page 52

Masquer les pouces Voir aussi pour Vanguard 10V000:
Table des Matières

Publicité

Les langues disponibles
  • FR

Les langues disponibles

  • FRANÇAIS, page 26
Shughulikia Mfumo wa Kupoesha
Onyo
Injini inayoendesha inazalisha joto. Sehemu za injini, hususan mafla, huwa
moto zaidi.
Kuchomeka vikali kunaweza kusababishwa unapogusana nazo.
Uchafu unaoweza kuwaka, kama vile majani, nyasi, brashi, n.k., unaweza
kushika moto.
• Ruhusu mafla, silinda na mapezi ya injini kupoa kabla ya kugusa.
• Ondoa uchafu uliokusanyika kutoka kwenye eneo la mafla na eneo la silinda.
Notisi
Usitumie maji kusafisha injini. Maji yanaweza kuchafua mfumo wa fueli.
Tumia brashi au kitambaa kilichokauka kusafisha injini.
Hii ni injini inayopoeshwa na hewa. Uchafu unaweza kuzuia mtiririko wa hewa na
kusababisha injini kuchemka kupita kiasi, na kusababisha utendakazi mbaya na
kupunguza maisha ya injini.
1.
Tumia brashi au kitambaa kilichokauka kuondoa uchafu kutoka kwenye grili ya
kuingiza hewa.
2.
Weka uhusiano, springi na vidhibiti safi.
3.
Weka ene lililo karibu na nyuma ya mafla, iwapo ipo, huru kutokana na uchafu
wowote unaoweza kuwaka.
4.
Hakikisha mapezi ya kupoesha mafuta, iwapo yapo, yako huru kutokana na
uchafu.
Baada ya kipindi cha muda, uchafu unaweza kukusanyika kwenye mapezi ya
kupoesha silinda na kusababisha injini kuwa moto kushinda kiasi. Uchafu huu hauwezi
kuondolewa bila kutokusanyika kwa kiasi fulani kwa injini. Ruhusu Mtoa Huduma wa
Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa kukagua na kusafisha mfumo wa kupoesha hewa
kama ilivyopendekezwa kwenye Ratiba ya Udumishaji.
Hifadhi
Onyo
Mafuta na mvuke wake unaweza kuwaka moto na kulipuka kwa haraka sana.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha majeraha mabaya kuchomeka au kifo.
Wakati wa Kuhifadhi Mafuta Au Kifaa Kilicho na Mafuta Kwenye Tangi
• Hifadhi mbali na tanuu, stovu, hita za kuchemshia maji, au vitu vingine ambavyo
vina taa za moto au vyanzo vya mwako kwa sababu vinaweza kuwasha moto
kwenye mvuke wa mafuta.
Mfumo wa Mafuta
Tazama Kielelezo: 27 
Hifadhi kiwango cha injini (mkao wa kawaida wa kuendesha). Jaza tangi la mafuta (A,
Kilelezo 27) kwa mafuta. Ili kuruhusu uvukizi wa mafuta, usijaze kupita chini ya shingo
ya tangi la mafuta (B). 
Mafuta yanaweza kuharibika yanapohifadhiwa katika kontena ya uhifadhi kwa zaidi ya
siku 30. Kila mara unapojaza kontena kwa mafuta, ongeza kiimarishaji mafuta kwenye
mafuta kama ilivyobainishwa na maagizo ya mtengenezaji. Hii inafanya mafuta kukaa
yakiwa safi na kupunguza matatizo yanayohusiana na mafuta au uchafu katika mfumo
wa mafuta.
Si lazima umwage mafuta kutka kwenye injini wakati kiimarishaji mafuta kinapoongezwa
kama ilivyoagizwa. Kabla ya kuendesha, WASHA injini kwa dakika 2 ili kueneza mafuta
na kiimarishaji kote kwenye mfumo wa mafuta.
Ikiwa petroli ndani ya injini haijatibiwa kwa kiimarishaji mafuta, ni lazima imwagwe
kwenye kontena iliyoidhinishwa. Endesha injini hadi isimame kutokana na ukosefu wa
mafuta. Matumizi ya kiimarishaji mafuta kwenye kontena ya uhifadhi yanapendekezwa ili
kudumisha usafi. 
Mafuta ya Injini
Wakati injini bado ina joto, badilisha mafuta ya injini. Tazama sehemu Kubadilisha
Mafuta ya Injini.
Utafutatuzi
Kwa usaidizi, wasiliana na mhudumu wa karibu au nenda kwenye
VanguardPower.com au piga 1-800-999-9333 (Marekani).
Maelezo
52
Modeli: 10V000
Unyonyaji Mafuta
Shimo
Mpigo
Kiwango cha Oili
Upunguzaji Gia kwa Uwiano wa 6:1 - Aina ya Oili
(Kielelezo 21)
Upunguzaji Gia kwa Uwiano wa 6:1 - Kiwango cha Oili
(Kielelezo 21)
Upunguzaji Klachi Oevu kwa Uwiano wa 2:1 - Aina ya
Oili (Kielelezo 23)
Upunguzaji Klachi Oevu kwa Uwiano wa 2:1 - Kiwango
cha Oili (Kielelezo 23)
Pengo la Plagi ya Spaki
Mkufu wa Plagi ya Spaki
Pengo la Hewa
Mwanya wa Vali ya Kuingiza Hewa
Mwanya wa Vali ya Ekzosi
Modeli: 12V000
Unyonyaji Mafuta
Shimo
Mpigo
Kiwango cha Oili
Upunguzaji Gia kwa Uwiano wa 6:1 - Aina ya Oili
(Kielelezo 21)
Upunguzaji Gia kwa Uwiano wa 6:1 - Kiwango cha Oili
(Kielelezo 21)
Upunguzaji Klachi Oevu kwa Uwiano wa 2:1 - Aina ya
Oili (Kielelezo 23)
Upunguzaji Klachi Oevu kwa Uwiano wa 2:1 - Kiwango
cha Oili (Kielelezo 23)
Pengo la Plagi ya Spaki
Mkufu wa Plagi ya Spaki
Pengo la Hewa
Mwanya wa Vali ya Kuingiza Hewa
Mwanya wa Vali ya Ekzosi
Nguvu ya injini utapungua kwa 3.5% kwa kila futi 1,000 (mita 300) juu ya mwinuko
wa bahari na 1% kwa kila 10° F (5.6° C) juu ya 77° F (25° C). Injini itaendesha kwa
kuridhisha katika pembe ya hadi 30°. Rejelea mwongozo wa mwendeshaji ili kufahamu
viwango salama vinavyoruhusiwa kwenye miteremko.
Sehemu za Udumishaji - Modeli: 10V000, 12V000
Sehemu za Udumishaji
Chujio la Hewa la Karatasi, Modeli 10V000 (Kielelezo
24)
Chujio la Hewa la Karatasi, Modeli 12V000 (Kielelezo
24)
Chujio la Hewa la Karatasi, Nyembamba, Muundo
10V000 (Kielelezo 25)
Chujio la Hewa la Karatasi, Nyembamba, Muundo
12V000 (Kielelezo 25)
Plagi ya Spaki ya Kifaa Kisichopitisha Nishati
Kifaa cha Kutega Plagi ya Spaki
Kifaa cha kujaribu Spaki
Tunapendekeza kuwa umwone Mtoa Huduma yeyote wa Briggs & Stratton
Aliyeidhinishwa kwa udumishaji na huduma zote za injini na sehemu za injini.
Ukadiriaji wa Nishati: Ukadiriaji wa pato la nishati kwa kila modeli ya injini ya petroli
imewekwa alama kwa kuzingatia SAE (Jumuiya ya Wahandisi wa Magari) msimbo
J1940 Nishati ya Injini Ndogo & Utaratibu wa Ukadiriaji wa Toku, na umekadiriwa
kwa kuzingatia SAE J1995. Thamani ya toku inafikia 2600 RPM kwa injini hizi kwa
"rpm" iliyowekwa kwenye lebo na 3060 RPM kwa vingine vote; thamani ya nishati ya
chaja inafikia 3600 RPM. Vizingo vya mapato ya nishati vinaweza kutazamwa katika
10.313 ci (169 cc)
2.44 in (62 mm)
2.204 in (56 mm)
18 - 20 oz (,54 - ,59 L)
80W-90
4 oz (,12 L)
10W30
10 oz (,30 L)
.030 in (,76 mm)
180 lb-in (20 Nm)
.010 - .013 in (,25 - ,35 mm)
.004 - .006 in (,10 - ,15 mm)
.005 - .007 in (,15 - ,20 mm)
12.387 ci (203 cc)
2.677 in (68 mm)
2.204 in (56 mm)
18 - 20 oz (,54 - ,59 L)
80W-90
4 oz (,12 L)
10W30
10 oz (,30 L)
.030 in (,76 mm)
180 lb-in (20 Nm)
.010 - .013 in (,25 - ,35 mm)
.004 - .006 in (,10 - ,15 mm)
.005 - .007 in (,15 - ,20 mm)
Nambari ya Sehemu
84002309
596760
596760
596760
597383
19576, 5402
19368
VanguardPower.com

Publicité

Table des Matières
loading

Ce manuel est également adapté pour:

Vanguard 12v000

Table des Matières