Ishara za Kudhibiti Injini na Maana
Kasi ya injini - HARAKA
Kasi ya injini - SIMAMA
Kuwasha injini - Choki
IMEFUNGWA
Kifuniko cha Mafuta
Kizima fueli -
KILICHOFUNGULIWA
Kiwango cha mafuta -
Upeo
Usijaze kupita kiasi
Kufunga
Ugeuzaji Kidhibiti Injini
Injini ya kawaida ina kidhibiti injini ambacho si otomatiki. Ili kuendesha ukitumia kidhibiti
injini ambacho si otomatiki, ili kuweka kidhibiti injini cha mbali, au ili kugeuza hadi kasi
isiyobadilika, fuata maagizo mwafaka hapa chini.
Kumbuka: Baada ya kuweka, kasi ya injini huenda ikahitaji kubadilishwa ili kutimiza
maelezo ya utendakazi ya mtengenezaji kifaa. Wasiliana na Mtoa Huduma wa Briggs &
Stratton Aliyeidhinishwa ili kupata usaidizi.
Kidhibiti Injini Kisicho Otomatiki
Tazama Kielelezo: 6
1.
Songeza wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard® (A, Kielelezo 6) hadi eneo la
ZIMA.
2.
Ondoa springi (S, Kielelezo 6).
Kidhibiti Injini kwa Mbali kilicho na Kebo ya Waya Iliyosukwa
Kidhibiti injini kwa mbali kilicho na kebo ya waya iliyosukwa kinaweza kuwekwa kwa
mojawapo ya mielekeo miwili; Mwelekeo wa Kichwa cha Silinda au Mwelekeo wa
Mbele.
Mwelekeo wa Kichwa cha Silinda
Tazama Kielelezo: 4, 6
1.
Songeza wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard® (A, Kielelezo 4) hadi eneo la
HARAKA.
2.
Tumia bisibisi ya milimita 10 na ikazue nati (P, Kielelezo 6) geuza nusu
mzunguko kwenye wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard®.
3.
Shikilia nati ya kuweka kebo (J, Kielelezo 4) ukitumia bisibisi ya milimita 10, na
ukazue skrubu (K).
4.
Weka waya ya kebo (L, Kielelezo 4) kupitia shimo lililo kwenye nati ya kuweka
kebo (J) na ukaze skrubu (K). Hakikisha kwamba waya ya kebo (L) si ndefu
kuliko ½" (milimita 12.7) kutoka kwenye shimo.
5.
Legeza skrubu (I, Kielelezo 4). Funga vazi la kebo (N) chini ya klampu ya kebo
(M) na ukaze skrubu (I).
6.
Ili kagua utendakazi wa kidhibiti injini kwa mbali, badilisha kasi kwenye kidhibiti
injini kwa mbali kutoka polepole hadi haraka mara kadhaa. Kidhibiti injini kwa
mbali na waya ya kebo (L, Kielelezo 4) zinapaswa kusonga huru. Kaza/kazua
nati (P, Kielelezo 6) kama inavyohitajika ili kuendesha unavyopenda.
Mwelekeo wa Mbele
Tazama Kielelezo: 5, 6
1.
Songeza wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard® (A, Kielelezo 5) hadi eneo la
HARAKA.
2.
Tumia bisibisi ya milimita 10 na ikazue nati (P, Kielelezo 6) geuza nusu
mzunguko kwenye wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard®.
3.
Shikilia nati ya kuweka kebo (J, Kielelezo 5) ukitumia bisibisi ya milimita 10, na
ukazue skrubu (K).
4.
Kasi ya injini - POLEPOLE
5.
6.
WASHA - ZIMA
Kidhibiti Injini kwa Mbali kilicho na Kebo ya Waya Gumu
Kidhibiti injini kwa mbali kilicho na kebo ya waya gumu kinaweza kuwekwa kwa
mojawapo ya mielekeo minne; Mwelekeo wa Kichwa cha Silinda, Mwelekeo wa
Mbele, Mwelekeo wa Kushoto, au Mwelekeo wa Kulia.
Kuwasha injini - Choki
IMEFUNGULIWA
Mwelekeo wa Kichwa cha Silinda
Tazama Kielelezo: 6, 7
1.
Kizima fueli -
KILICHOFUNGW
2.
3.
4.
5.
6.
7.
Mwelekeo wa Mbele
Tazama Kielelezo: 6, 8
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
Mwelekeo wa Kushoto
Tazama Kielelezo: 6, 9
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
Mwelekeo wa Kulia
Tazama Kielelezo: 6, 10
Weka waya ya kebo (L, Kielelezo 5) kupitia shimo lililo kwenye nati ya kuweka
kebo (J) na ukaze skrubu (K). Hakikisha kwamba waya ya kebo (L) si ndefu
kuliko ½" (milimita 12.7) kutoka kwenye shimo.
Legeza skrubu (I, Kielelezo 5). Funga vazi la kebo (N) chini ya klampu ya kebo
(M) na ukaze skrubu (I).
Ili kagua utendakazi wa kidhibiti injini kwa mbali, badilisha kasi kwenye kidhibiti
injini kwa mbali kutoka polepole hadi haraka mara kadhaa. Kidhibiti injini kwa
mbali na waya ya kebo (L, Kielelezo 5) zinapaswa kusonga huru. Kaza/kazua
nati (P, Kielelezo 6) kama inavyohitajika ili kuendesha unavyopenda.
Songeza wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard® (A, Kielelezo 6, 7) hadi eneo
la ZIMA.
Ondoa springi (S, Kielelezo 6, 7).
Songeza wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard® (A, Kielelezo 6, 7) hadi eneo
la HARAKA.
Tumia bisibisi ya milimita 10 na ikazue nati (P, Kielelezo 6) geuza nusu
mzunguko kwenye wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard®.
Weka sehemu ya Z ya kebo ya waya gumu (Q, Kielelezo 7) kwenye mojawapo
ya shimo ndogo katika bellkranki (R).
Legeza skrubu (I, Kielelezo 7). Funga vazi la kebo (N) chini ya klampu ya kebo
(M) na ukaze skrubu (I).
Ili kagua utendakazi wa kidhibiti injini kwa mbali, badilisha kasi kwenye kidhibiti
injini kwa mbali kutoka polepole hadi haraka mara kadhaa. Kidhibiti injini kwa
mbali na kebo ya waya gumu (L, Kielelezo 7) zinapaswa kusonga huru. Kaza/
kazua nati (P, Kielelezo 6) kama inavyohitajika ili kuendesha unavyopenda.
Songeza wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard® (A, Kielelezo 6, 8) hadi eneo
la ZIMA.
Ondoa springi (S, Kielelezo 6, 8).
Songeza wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard® (A, Kielelezo 6, 8) hadi eneo
la HARAKA.
Tumia bisibisi ya milimita 10 na ikazue nati (P, Kielelezo 6) geuza nusu
mzunguko kwenye wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard®.
Weka sehemu ya Z ya kebo ya waya gumu (Q, Kielelezo 8) kwenye mojawapo
ya shimo ndogo katika bellkranki (R).
Legeza skrubu (I, Kielelezo 8). Funga vazi la kebo (N) chini ya klampu ya kebo
(M) na ukaze skrubu (I).
Ili kagua utendakazi wa kidhibiti injini kwa mbali, badilisha kasi kwenye kidhibiti
injini kwa mbali kutoka polepole hadi haraka mara kadhaa. Kidhibiti injini kwa
mbali na kebo ya waya gumu (L, Kielelezo 8) zinapaswa kusonga huru. Kaza/
kazua nati (P, Kielelezo 6) kama inavyohitajika ili kuendesha unavyopenda.
Songeza wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard® (A, Kielelezo 9) hadi eneo la
ZIMA.
Ondoa springi (S, Kielelezo 6).
Songeza wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard® (A, Kielelezo 9) hadi eneo la
HARAKA.
Tumia bisibisi ya milimita 10 na ikazue nati (P, Kielelezo 6) geuza nusu
mzunguko kwenye wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard®.
Ondoa sehemu ya kushikia kidhibiti injini (W, Kielelezo 9) ili uone shimo hilo
ndogo (S).
Weka sehemu ya Z ya kebo ya waya gumu (L, Kielelezo 9) kwenye shimo ndogo
(S) lililo katika wenzo wa kidhibiti injini (A).
Legeza skrubu (I, Kielelezo 9). Funga vazi la kebo (N) chini ya klampu ya kebo
(M) na ukaze skrubu (I).
Ili kagua utendakazi wa kidhibiti injini kwa mbali, badilisha kasi kwenye kidhibiti
injini kwa mbali kutoka polepole hadi haraka mara kadhaa. Kidhibiti injini kwa
mbali na kebo ya waya gumu (L, Kielelezo 9) zinapaswa kusonga huru. Kaza/
kazua nati (P, Kielelezo 6) kama inavyohitajika ili kuendesha unavyopenda.
47