Briggs & Stratton Vanguard 540000 Manuel D'utilisation page 42

Table des Matières

Publicité

Les langues disponibles
  • FR

Les langues disponibles

  • FRANÇAIS, page 23
R.
1
Swichi ya Kianzishi
S.
Kidhibiti cha Transfoma ndogo ya gari
T.
Kidhibiti cha Choki - Modeli za Kabureta
U.
Kichujio cha Fueli (iwapo kipo)
1
Baadhi ya injini na vifaa vina vidhibiti vya mbali. Tazama mwongozo wa kifaa
kwa utambuzi na uendeshaji wa vidhibiti mbali.
Ishara za Kudhibiti Injini na Maana
Kasi ya injini - HARAKA 
Kasi ya injini - SIMAMA 
Kuwasha injini - Choki
IMEFUNGWA 
Kifuniko cha Mafuta
Kizima fueli -
KILICHOFUNGULIWA 
Kiwango cha mafuta -
Upeo
Usijaze kupita kiasi 
Uendeshaji
Mapendekezo ya Oili
 Kiwango cha Oili: Tazama sehenmu ya Vipimo. 
Notisi
Injini hii ililetwa kutoka Briggs & Stratton bila oili. Watengenezaji au wauzaji vifaa
huenda waliongeza mafuta kwenyeinjini. Kabla ya kuwasha injini kwa mara ya
kwanza, hakikisha umekagua kiwango cha oili na uongeze oili kulingana na maagizo
kwenye mwongozo huu. Iwapo utawasha injini bila mafuta, itaharibika hadi kushindwa
kukarabatiwa na hutafidiwa chini ya udhamini huu. 
Tunapendekeza matumizi ya oili Zilizoidhinishwa na Hakikisho la Briggs & Stratton
kupata utendakazi bora. Oili nyingine za usafishaji zinakubalika ikiwa zimebainishwa
kwa huduma ya SF, SG, SH, SJ au ya juu zaidi. Usitumie vitegemezi maalum. 
Hali joto ya nje inabainisha mnato sahihi wa oili kwa injini. Tumia chati kuchagua mnato
bora zaidi kwa hali joto ya nje inayotarajiwa. Injini katika vifaa vingi vya nje zinafanya
kazi vyema zikitumia oili ya 5W-30 Synthetic. Kwa vifaa vinavyoendeshwa katika joto la
®
juu, oili ya Vanguard
15W-50 Synthetic inatoa ulindaji bora. 
 
 
 A 
 SAE 30 -  Chini ya 40 °F (4 °C) matumizi ya SAE 30 yatasababisha ugumu wa
kuwasha. 
42
1
1
Kasi ya injini - POLEPOLE 
WASHA - ZIMA 
Kuwasha injini - Choki
IMEFUNGULIWA 
Kizima fueli -
KILICHOFUNGW 
 B 
 10W-30 -  Juu ya 80 °F (27 °C) matumizi ya 10W-30 yanaweza kusababisha
ongezeko la matumizi ya oili. Kagua kiwango cha oili mara nyingi zaidi. 
 C 
 5W-30 
 D 
 Sinthetiki 5W-30 
 E 
®
 Vanguard
  Synthetic 15W-50 
Angalia Kiwango cha Mafuta
Tazama Kelelezo: 5
Kabla ya kuongeza au kuangalia mafuta
• Hakikisha kuwa mtambo uko katika kiwango.
• Safisha eneo la kujaza mafuta kutokana na uchafu wowote.
1.
Ondoa kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 5) na upanguse kwa
kitambaa safi.
2.
Sakinisha kifaa cha kupima kiwango cha mafuta kikamilifu (A, Kielelezo 5).
3.
Ondoa kifaa cha kupima mafuta na ukague kiwango cha mafuta. Kiwango sahihi
cha mafuta kiko juu ya kiashiria kilichojaa kwenye kifaa cha kuangalia kiwango
cha mafuta (B, Kielelezo 5) kwenye kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta.
4.
Iwapo kiwango cha mafuta kiko chini, kwa utaratibu ongeza mafuta kwenye eneo
la mafuta (C, Kielelezo 5). Usijaze kupita kiasi. Baada ya kuongeza mafuta,
subiri dakika moja na kisha angalia kiwango cha mafuta.
5.
Sakinisha kifaa cha kupima kiwango cha mafuta kikamilifu (A, Kielelezo 5).
Mfumo wa Ulinzi wa Chini wa Mafuta
(iwapo upo)
Baadhi ya modeli zina kihisio cha mafuta ya chini. Iwapo mafuta yako chini, kihisio aidha
kitaamilisha mwangaza wa tahadhari au kusimamisha injini. Simamisha injini na ufuate
hatua hizi kabla ya kuwasha tena injini.
• Hakikisha injini iko katika sehemu laini.
• Angalia kiwango cha mafuta. Tazama sehemu Kuangalia Kiwango cha Mafuta.
• Iwapo kiwango cha mafuta kiko chini, ongeza kiwango sahihi cha mafuta. Washa
injini na uhakikishe mwangaza wa tahadhari (iwapo upo) haujaamilishwa.
• Iwapo kiwango cha mafuta hakiko chini, usiwashe injini. Wasiliana na Mtoa
Huduma wa Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa ili kurekebisha matatizo ya mafuta.
Mapendekezo ya Mafuta
 Mafuta ni lazima yatimize mahitaji haya: 
• Petroli safi, freshi, isiyo na risasi (unleaded). 
• Kiwango cha chini zaidi cha okteni 87/AKI 87 (91 RON). Matumizi katika mwinuko
wa juu, tazama hapa chini. 
• Petroli iliyo na hadi ethanoli 10% (gasoholi) inakubalika. 
Notisi
Usitumie petroli ambayo haijaidhinishwa, kama vile E15 na E85.
®
 ili
Usichanganye oili kwenye petroli au kurekebisha injini ili itumie mafuta mbadala.
Utumizi wa mafuta ambayo hayajaidhinishwa utaharibu vipengele vya injini, jambo
ambalo halijasimamiwa na hakikisho. 
Ili kulinda mfumo wa mafuta kutokana na utengenezaji wa gundi, changanya kiimarishaji
mafuta ndani ya mafuta. Tazama  Uhifadhi.  Mafuta yote sio sawia. Iwapo matatizo
ya kuwasha au utendakazi yatatokea, badilisha unakonunua mafuta au ubadilishe
aina. Injini hii imeidhinishwa kuendeshwa kutumia petroli. Mfumo wa kudhibiti mafukizo
wa injini za kabureta ni EM (Engine Modifications (Marekebisho ya Injini)). Mifumo ya
kudhibiti mafukizo kwa injini zilizo na unyonyaji mafuta kielektroniki ni ECM (Engine
Control Module (Moduli ya Kidhibiti Injini)), MPI (Multi Port Injection (Unyonyaji kwa
Matundu Kadhaa)) na ikiwa ina O2S (Oxygen Sensor (Sensa ya Oksijeni)).
Mwinuko wa Juu
Katika mwinuko wa zaidi ya futi 5,000 (mita1524), kiwango cha chini cha okteni 85 /85
AKI (89 RON) petroli inakubaliwa.
Kwa injini iliyo na kabureta, marekebisho ya mwinuko wa juu yanahitajika ili kudumisha
utendakazi. Oparesheni bila marekebisho unaweza kusababisha kupunguka kwa
utendakazi, matumizi ya fueli yalioongezeka, na uchafuzi ulioongezeka. Wasiliana na
Mtoa Huduma wa Briggs & Stratton Aliyeidhibishwa kwa maelezo ya marekebisho ya
mwinuko wa juu. Oparesheni wa injini katika mwinuko wa chini ya futi 2,500 (mita 762)
na marekebisho ya mwinuko wa juu hayapendekezwi.
Kwa injini za Uinjizaji wa Fueli wa Kielektriki (EFI), hakuna marekebisho ya mwinuko wa
juu yanahitajika.
Ongeza Mafuta
Tazama Kelelezo: 6
VanguardEngines.com

Publicité

Table des Matières
loading

Table des Matières