Télécharger Imprimer la page

Briggs & Stratton 110000 Manuel D'utilisation page 50

Publicité

Les langues disponibles
  • FR

Les langues disponibles

  • FRANÇAIS, page 27
Kabureta na Kasi ya Injini
Kamwe usifanye marekebisho kwenye kabureta au kasi ya injini. Kabureta iliwekwa kwenye
kiwanda kufanya kazi kwa ufanisi chini ya masharti mengi. Usihitilafiane na springi ya
kidhibiti, uhusiano au sehemu nyingine ili kubadilisha kasi ya injini. Iwapo marekebisho
yoyote yanahitajika wasiliana na Mtoa Huduma wa Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa kwa
huduma.
Notisi
Mtengenezaji wa kifaa hubainisha kasi ya juu ya injini kama ilivyosakinishwa
kwenye kifaa. Usizidi kasi hii. Iwapo huna uhakika kasi ya juu ya kifaa hiki ni ipi, au
kasi ya injini imewekwa kwa kutoka kwenye kiwanda, wasiliana na Mtoa Huduma wa
Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa kwa usaidizi. Kwa oparesheni salama na sahihi ya
kifaa, kasi ya injini inafaa kurekebishwa na mtaalam wa huduma aliyehitimu tu.
Shughulikia Kuziba Cheche
Tazama Kielelezo: 10
Angalia nafasi iliyo na kipimo (B) (A, Kielelezo 10). Iwapo ni muhimu, weka upya nafasi.
Sakinisha na ukaze kuziba cheche katika toku iliyopendekezwa. Kwa uwekaji wa nafasi
au toku, tazama Vipimo sehemu .
Kumbuka: Katika baadhi ya maeneo, sheria ya ndani huhitaji kutumia kuziba cheche
ambayo haipitishi nishati ili kupunga ishara za kuwaka. Iwapo injini hii ilikuwa na kuziba
cheche ambayo haipitishi nishati mwanzoni, tumia aina sawa kwa ubadilishaji.
Shughulikia Mfumo wa Eneo la kutolea
moshi
Onyo
Injini inayoendesha inazalisha joto. Sehemu za injini, hususan mafla, huwa moto
zaidi.
Kuchomeka vikali kunaweza kusababishwa unapogusana nazo.
Uchafu unaoweza kuwaka, kama vile majani, nyasi, brashi n.k. unaweza kushika
moto.
Ruhusu mafla, silinda na mapezi ya injini kupoa kabla ya kugusa.
Ondoa uchafu uliokusanyika kutoka kwenye eneo la mafla na eneo la silinda.
Ni ukiukaji wa Msimbo wa Rasilimali wa Umma wa California, Sehemu ya 4442,
kutumia au kuendesha injini katika eneo linazungukwa na msitu, lililozungukwa na
brashi, au lililo na nyasi isipokuwa mfumo wa eneo la kutolea moshi una kishika
cheche, kama ilivyofafanuliwa kwenye Sehemu ya 4442, iliyodumishwa kwenye
mpangilio wenye ufanisi wa kufanya kazi. Mamlaka mengine ya Majimbo au shirikisho
yanaweza kuwa sheria sawa. Wasiliana na mtengenezaji wa kifaa asili, muuzaji wa
rejareja, au mtoa huduma ili kupata kishika cheche kilichobuniwa kwa mfumo wa
eneo la kutolea moshi uliosakinishwa kwenye injini hii.
Ondoa uchafu uliokusanyika kutoka kwenye mafla na eneo la silinda. Kagua mafla kwa
nyufa, kutia kutu, au uharibifu mwingine. Ondoa kifaa cha kusonga au kishika cheche,
iwapo kipo, na ukague kwa uharibifu au uzuiaji wa kaboni. Iwapo uaribifu utapatikana,
sakinisha sehemu za ubadilishaji kabla ya kuendesha.
Onyo
Sehemu za ubadilishaji lazima ziwe sawa na zilizosakinishwa katika eneo sawa kama
sehemu asili. Sehemu zingine huenda zisitekeleze vilevile, zinaweza kuharibu kitengo,
na inaweza kusababisha majeraha.
Badilisha Mafuta ya Injini
Tazama Kielelezo: 11, 12, 13, 14
Onyo
Fueli na mvuke wake unawaka na kulipuka haraka sana.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha kuchomeka vikali au kifo.
Injini inayoendesha inazalisha joto. Sehemu za injini, hususan mafla, huwa moto
zaidi.
Kuchomeka vikali kunaweza kusababishwa unapogusana nazo.
50
Unapomwaga mafuta kuotka kwenye bomba la juu la kuweka mafuta, tangi ya fueli
lazima iwe tupu au fueli inaweza kumwagika nje na kusababisha moto au mlipuko.
Ruhusu mafla, silinda na mapezi ya injini kupoa kabla ya kugusa.
Mafuta yaliyotumiwa bidhaa taka yenye madhara na lazima itupwe vizuri. Usitupe pamoja
na taka ya nyumbani. Wasiliana na mamlaka yako ya ndani, kituo cha usaidizi au mtoa
huduma kwa utupaji/kutumia upya salama kwa bidhaa.
Ondoa Mafuta
1.
Injini ikiwa bado ina joto, tenganisha waya ya kuziba cheche na uihifadhi mbali na
kuziba cheche (E) (D, Kielelezo 11).
2.
Ondoa kifaa cha kuangalia kiweango cha mafuta (F, Kielelezo 12).
3.
Ondoa kuziba ya kutoa mafuta (F, Kielelezo 13). Weka mafuta kwenye kontena
iliyoidhinishwa.
Kumbuka: Kuziba cheche yoyote ya kutoa mafuta inaweza kusakinishwa kwenye injini (G,
Kielelezo 13).
4.
Baada ya mafuta kutolewa, sakinisha na ukaze kuziba ya kutoa mafuta (F, Kielelezo
13).
5.
Wakati unatoa mafuta kutoka kwenye tundu la juu la kuwekea mafuta (weka kuziba
cheche (E) mwishoni mwa injini juu (C, Kielelezo 14). Weka mafuta kwenye kontena
iliyoidhinishwa.
Onyo
Unapomwaga mafuta kutoka kwenye bomba la juu la kuweka mafuta, tangi ya fueli
lazima iwe tupu au fueli inaweza kumwagika nje na kusababisha moto au mlipuko. Ili
kutoa mfuta kwenye tangi ya fueli, endesha injini hadi isimame kutokana na ukosefu
wa fueli.
Badilisha Kichujio cha Mafuta, iwapo kipo
Baadhi ya modeli zina kichujio cha mafuta. Kwa vipindi vya ubadilishaji, tazama Ratiba
ya Udumishaji.
Toa mafuta kutoka kwenye injini. Tazama eneo la Kuondoa Mafuta .
1.
2.
Ondoa kichujio cha mafuta (H, Kielelezo 12) na ukitupe vizuri.
3.
Kabla usakinishe kichujio kipya cha mafuta, lainisha kiasi kwa kifaa cha kichujio cha
mafuta kwa mafuta freshi na safi.
4.
Sakinisha kichujio cha mafuta kwa mkono hadi kifaa kisgusane na adapta ya kichujio
cha mafuta, kisha kaza kichujuio cha mafuta kwa mizunguko 1/2 hadi 3/4.
5.
Ongeza mafuta. Tazama sehemu Ongeza Mafuta .
6.
Washa na uendeshe injini. Wakati injini inachemka, angali uvujaji wa mafuta.
7.
Zima injini na uangalie kiwango cha mafuta. Kiwango sahihi cha mafuta kiko juu ya
kiashiria kilichojaa kwenye kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (B, Kielelezo
12).
Ongeza Mafuta
Hakikisha injini iko katika kiwango.
Safisha eneo la kujaza mafuta kutokana na uchafu wowote.
Tazama Vipimo katika eneo la kiwango cha mafuta.
1.
Ondoa kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta na upanguse kwa kitambaa safi (A,
Kielelezo 12).
2.
Polepole weka mafuta kwenye eneo la kuweka mafuta la injini (C, Kielelezo 12).
Usijaze kupita kiasi Baada ya kuongeza mafuta, subiri dakika moja na kisha angalia
kiwango cha mafuta.
3.
Sakinisha na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 12).
4.
Ondoa kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta na uangalie kiwango cha mafuta.
Kiwango sahihi cha mafuta kiko juu ya kiashiria kilichojaa kwenye kifaa cha kuangalia
kiwango cha mafuta (B, Kielelezo 12).
5.
Sakinisha upya na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 12).
6.
Unganisha waya ya kuziba cheche kwenye kuziba cheche (E), (D, Kielelezo 11).
Shughulikia Kichuja Hewa
Tazama Kielelezo: 15, 16
BRIGGSandSTRATTON.COM

Publicité

loading

Ce manuel est également adapté pour:

120000140000