Télécharger Imprimer la page

Briggs & Stratton 110000 Manuel D'utilisation page 47

Publicité

Les langues disponibles
  • FR

Les langues disponibles

  • FRANÇAIS, page 27
Tumia kijaribio cha kuziba cheche kilichoidhinishwa.
Usikague injini wakati kuziba cheche imeondolewa.
Vipengele na Vidhibiti
Vidhibiti vya Injini
Linganisha mfano (Kielelezo: 1, 2, 3, 4) na injini yako ili kujifahamisha na maeneo mbalimbali
ya vipengele na vidhibiti.
A.
Nambari Tambulishi za Injini Modeli - Aina - Msimbo
B.
Mabari Tambulishi za Injini
C.
Tangi na Kifuniko cha Fueli
D.
Kisafishaji cha Hewa
E.
Kishikilio cha Kamba ya Kianzishi (iwapo kipo)
F.
Kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta
G.
Kuziba Kumwaga Mafuta
H.
Mafla, Kilinda Mafla (iwapo vipo), Kishika Cheche (iwapo kipo)
I.
Choki (iwapo ipo)
J.
Kidhibiti cha Transfoma ndogo (iwapo kipo)
K.
Kizima Fueli (iwapo kipo)
L.
Kichujio cha Fueli (iwapo kipo)
M.
Grili ya Kuingiza Hewa
N.
Kichujio cha Fueli (iwapo kipo)
O.
Kianzishi cha Kielektriki (iwapo kipo)
P.
Swichi ya Kusimamisha (iwapo ipo)
Q.
Kuziba Cheche
Ishara za Kudhibiti Injini na Maana
Ishara
Maana
Kasi ya injini - HARAKA
Kasi ya injini - SIMAMA
Kuwasha injini - Choki
IMEFUNGWA
Kifuniko cha fueli
Kizima fueli -
KILICHOFUNGULIWA
Kiwango cha fueli – Usijaze
kupita kiasi
Oparesheni
Mapendekezo ya Mafuta
Kiwango cha Mafuta: Tazama sehemu Vipimo .
Tunapendekeza matumizi ya mafuta Yaliyoidhinishwa na Udhamini wa Briggs & Stratton
kwa utendakazi bora. Mafuta mengine yaliyo na sabuni ya kiwango cha juu yanakubalika
Ishara
Maana
Kasi ya injini - POLEPOLE
WASHA – ZIMA
Kuwasha injini - Choki
IMEFUNGULIWA
Kizima fueli -
KILICHOFUNGWA
iwapo yamebainishwa kwa huduma ya SF, SG, SH, SJ au ya juu zaidi. Usitumie vitegemezi
maalum.
Hali joto ya nje inatambua mnato sahihi wa mafuta kwa injini. Tumia chati kuteua mnato
bora wa masafa ya hali joto ya nje inayotarajiwa.
A
SAE 30 - Chini ya 40 °F (4 °C) matumizi ya SAE 30 itasababisha ugumu wa
kuwaka.
B
10W-30 - Juu ya 80 °F (27 °C) matumizi ya 10W-30 inaweza kusababisha
uongezaji wa matumizi ya mafuta. Angalia kiwango mafuta mara kwa mara zaidi.
C
Sintetiki 5W-30
D
5W-30
Angalia Kiwango cha Mafuta
Tazama Kielelezo: 5
Kabla ya kuongeza au kuangalia mafuta
Hakikisha injini iko kwenye kiwango.
Safisha eneo la kujaza mafuta kutoka na uchafu wowote.
1.
Ondoa kifaa cha kuangalia mafuta (A, Kielelezo 5) na ukipanguse kwa kitambaa safi.
2.
Sakinisha na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 5).
3.
Ondoa kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta na uangalie kiwango cha mafuta.
Kiwango sahihi cha mafuta kiko juu ya kiashiria kilichojaa kwenye kifaa cha kuangalia
kiwango cha mafuta (B, Kielelezo 5).
4.
Iwapo kiwango cha mafuta kiko chini, kwa utaratibu ongeza mafuta kwenye eneo la
mafuta (C, Kielelezo 5). Usijaze kupita kiasi. Baada ya kuongeza mafuta, subiri
dakika moja na kisha angalia kiwango cha mafuta.
5.
Sakinisha upya na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 5).
Mfumo wa Ulinzi wa Chini wa Mafuta
(iwapo upo)
Baadhi ya modeli zina kihisio cha mafuta ya chini. Iwapo mafuta yako chini, kihisio aidha
kitaamilisha mwangaza wa tahadhari au kusimamisha injini. Simamisha injini na ufuate
hatua hizi kabla ya kuwasha tena injini.
Hakikisha injini iko katika sehemu laini.
Angalia kiwango cha mafuta. Tazama sehemu Kuangalia Kiwango cha Mafuta.
Iwapo kiwango cha mafuta kiko chini, ongeza kiwango sahihi cha mafuta. Washa
injini na uhakikishe mwangaza wa tahadhari (iwapo upo) haujaamilishwa.
Iwapo kiwango cha mafuta hakiko chini, usiwashe injini. Wasiliana na Mtoa Huduma
wa Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa ili kurekebisha matatizo ya mafuta.
Mapendekezo ya Fueli
Lazima fueli ikithi mahitaji haya:
Petroli safi, freshi, yasiyo na isiyo na lead.
Kiwango cha chini cha 87 okteni/87 AKI (91 RON). Matumizi ya mwinuko wa juu,
tazama hapa chini.
Petroli iliyo na hadi ethanoli 10% (gasohol) inakubalika.
Notisi
Usitumie petroli isiyoidhinishwa, kama vile E15 na E85. Usichanaganye mafuta
kwenye petroli au kurekebisha injini ili kuendesha fueli mbadala. Usitumie fueli
isiyoidhinishwa itaharibu vipengele vya injini, ambavyo havitashughulikiwa chini ya
udhamini.
47

Publicité

loading

Ce manuel est également adapté pour:

120000140000