Briggs & Stratton VANGUARD 130000 Manuel D'utilisation page 48

Masquer les pouces Voir aussi pour VANGUARD 130000:
Table des Matières

Publicité

Les langues disponibles
  • FR

Les langues disponibles

  • FRANÇAIS, page 25
Ruhusu mafla, silinda na mapezi ya injini kupoa kabla ya kugusa.
Ondoa uchafu uliokusanyika kutoka kwenye eneo la mafla na eneo la silinda.
Ni ukiukaji wa Msimbo wa Rasilimali wa Umma wa California, Sehemu ya 4442,
kutumia au kuendesha injini katika eneo linazungukwa na msitu, lililozungukwa na
brashi, au lililo na nyasi isipokuwa mfumo wa eneo la kutolea moshi una kishika
cheche, kama ilivyofafanuliwa kwenye Sehemu ya 4442, iliyodumishwa kwenye
mpangilio wenye ufanisi wa kufanya kazi. Mamlaka mengine ya Majimbo au shirikisho
yanaweza kuwa sheria sawa. Wasiliana na mtengenezaji wa kifaa asili, muuzaji wa
rejareja, au mtoa huduma ili kupata kishika cheche kilichobuniwa kwa mfumo wa
eneo la kutolea moshi uliosakinishwa kwenye injini hii.
Ondoa uchafu uliokusanyika kutoka kwenye mafla na eneo la silinda. Kagua mafla kwa
nyufa, kutia kutu, au uharibifu mwingine. Ondoa kifaa cha kusonga au kishika cheche,
iwapo kipo, na ukague kwa uharibifu au uzuiaji wa kaboni. Iwapo uaribifu utapatikana,
sakinisha sehemu za ubadilishaji kabla ya kuendesha.
Onyo
Sehemu za ubadilishaji lazima ziwe sawa na zilizosakinishwa katika eneo sawa kama
sehemu asili. Sehemu zingine huenda zisitekeleze vilevile, zinaweza kuharibu kitengo,
na inaweza kusababisha majeraha.
Badilisha Mafuta ya Injini
Tazama Kelelezo: 10, 11
Mafuta yaliyotumiwa bidhaa taka yenye madhara na lazima itupwe vizuri. Usitupe pamoja
na taka ya nyumbani. Wasiliana na mamlaka yako ya ndani, kituo cha usaidizi au mtoa
huduma kwa utupaji/kutumia upya salama kwa bidhaa.
Ondoa Mafuta
1.
Injini ikiwa bado ina joto, tenganisha waya wa kiziba cheche (D, Kielelezo 10) na
uhifadhi mbali na kiziba cheche (E).
2.
Ondoa kifaa cha kupima mafuta (A, Kielelezo 11).
3.
Ondoa kiziba cha kutoa mafuta (F, Kielelezo 11). Weka mafuta kwenye kontena
iliyoidhinishwa.
Kumbuka: Viziba cheche mbalimbali vya kutoa mafuta (G, Kielelezo 11) vinasakinishwa
kwenye injini.
4.
Baada ya mafuta kutolewa, sakinisha na ukaze kiziba cha kutoa mafuta (F, Kielelezo
11).
Ongeza Mafuta
Hakikisha injini iko katika kiwango.
Safisha eneo la kujaza mafuta kutokana na uchafu wowote.
Tazama Vipimo katika eneo la kiwango cha mafuta.
1.
Ondoa kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta na upanguse kwa kitambaa safi (A,
Kielelezo 11).
2.
Polepole weka mafuta kwenye eneo la kuweka mafuta la injini (C, Kielelezo 11).
Jaza hadi sehemu ya kufurika.
3.
Sakinisha kifaa cha kupima mafuta (A, Kielelezo 11). Usigeuze au kukaza.
4.
Ondoa kifaa cha kupima mafuta na ukague kiwango cha mafuta. Kiwango sahihi cha
mafuta ni ju ya kiashiria cha kilichojaa (B, Kielelezo 11) kwenye kifaa cha kupima
mafuta.
5.
Sakinisha upya na ukazi kifaa cha kupima mafuta (A, Kielelezo 11).
6.
Unganisha waya ya kuziba cheche (D, Kielelezo 10) kwenye kuziba cheche (E).
Badilisha Mafuta ya Kupunguza Gia
Tazama Kelelezo: 12, 13
Upunguzaji Gia wa 6:1 (Kielelezo 12)
Iwapo injini yako imewekwa kitengo cha upunguzaji gia wa 6:1, ihudumie kama ifuatavyo:
1.
Ondoa plagi ya kujaza mafuta (A, Kielelezo 12) na plagi ya kiwango cha mafuta (B).
2.
Ondoa plagi ya kukamua mafuta (C, Kielelezo 12) na ukamue mafuta kwenye kontena
inayofaa.
3.
Sakinisha upya na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 12).
48
4.
Ili kujaza upya, mwaga polepole mafuta ya kulainisha gia (tazama sehenu ya Vipimo
kwenye shimo la kujaza mafuta (D, Kielelezo 12). Endelea kumwaga hadi mafuta
yafurike kwenye shimo la kiwango cha mafuta (E).
5.
Sakinisha upya na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 12).
6.
Sakinisha upya na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 12).
Kumbuka: Plagi ya kujaza mafuta (A, Kielelezo 12) ina shimo la tundu (F) na lazima
isakinishwe upande wa juu wa kifuniko gia kama ilivyoonyeshwa.
Upunguzaji Gia wa 2:1 (Kielelezo 13)
Kitengo cha upunguzaji gia wa 2:1 (G, Kielelezo 13) hakihitaji kubadilishwa mafuta.
Shughulikia Kichuja Hewa
Tazama Kelelezo: 14, 15, 16
Onyo
Fueli na mvuke wake unawaka na kulipuka hara sana.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha kuchomeka vikali au kifo.
Kamwe usiwashe na kuendesha wakati uunganishaji wa kisafisha hewa (iwapo kipo)
au kichuja hewa (iwapo kipo) kimeondolewa.
Notisi
Usitumie hewa au majimaji yaliyoshinikizwa kusafisha kichujio. Hewa
iliyoshinikizwa inaweza kuharibu kichujio na majimaji yatayeyusha kichujio.
Tazama Ratiba ya Udumishaji wa mahitaji ya huduma.
Modeli mbalimbali aidha zinatumia povu au kichujio cha karatasi. Baadhi ya modeli pia
zinaweza kuwa na kisafishaji cha mwanzo cha hiari ambacho kinaweza kusafishwa na
kutumiwa tena. Linganisha mifano kwenye mwongozo na aina iliyosakinishwa kwenye
injini yako na ushughulikie kama ifuatavyo.
Kichujio cha Povu ya Hewa
1.
Legeza bizimu (A, Kielelezo 14).
2.
Ondoa kifuniko (B, Kielelezo 14).
3.
Ondoa mkanda (D, Kielelezo 14) na kisafishaji (E).
4.
Ili kuzuia uchafu kutokana na kuanguka kwenye kabureta, kwa makini ondoa elementi
ya povu kwenye sehemu ya chini ya kichuja hewa, (C, Kielelezo 14).
5.
Ondoa kichujio cha mwanzo kutoka kwenye kichujio (C), (F, Kielelezo 14).
6.
Osha kipengele cha povu (C, Kielelezo 14) kwenye sabuni oevu na maji. Finyiza ili
kukausha kipengele cha fomu kwenye kitambaa safi.
7.
Koleza kipengele cha povu (C, Kielelezo 14) kwa mafuta safi ya injini. Ili kuondoa
mafuta ya kupita kiasi ya injini, finyiza kipengele cha povu kwenye kitambaa safi.
8.
Ingiza kifuniko egemezi (F, Kielelezo 14) kwenye elementi ya povu (C).
9.
Sakinisha elementi ya povu (C, Kielezo 14) katika eneo la kichujio cha hewa (G) na
kwenye kitufe (H). Hakikisha kichujio kimeunganishwa sahihi kwenye eneo la kichujio
cha hewa na kulinda (E) kwa bizimu (D).
10.
Sakinisha kifuko na ukilinde kwa bizimu (A), (B, Kielelezo 14). Hakikisha bizimu
imekazwa.
Kichujio cha Hewa cha Karatasi
1.
Legeza bizimu (A, Kielelezo 15).
2.
Ondoa kifuniko (B, Kielelezo 15).
3.
Ondoa bizimu (E, Kielelezo 15).
4.
Ili kuzuia uchafu kutokana na kuanguka ndani ya kabureta, kwa umakini ondoa
kisafishaji cha mwanzo (D, Kielelezo 15), ikiwa kipo, na kichujio cha (C) kutoka katika
eneo la kuchujia hewa (F).
5.
Ili kulegeza uchafu, kwa utaratibu gonga kichujio katika eneo gumu, (C, Kielelezo
15) Iwapo kichujio ni kichafu kupita kiasi, badilisha na kichujio kipya.
6.
Ondoa kisafishaji cha mwanzo (D, Kielelezo 15), ikiwa kipo, kwenye kichujio (C).
7.
Osha kisafishaji cha mwazo kwenye sabuni oevu na maji, (D, Kielelezo 15). Ruhusu
kisafishaji cha mwanzo kukauka kabisa. Usiweke mafuta kwenye kisafishaji cha
mwanzo.
8.
Kusanya kisafishaji cha mwanzo kilichokauka (D, Kielelezo 15), ikiwa kipo, kwenye
kichujio (C).
9.
Sakinisha kisafishaji muhuri (H, Kielezo 15), kichujio (C), na kisafishaji cha mwanzo
(D), ikiwa kipo, kwenye eneo la kichujio cha hewa (F) na kwenye kitufe (G). Hakikisha
VanguardEngines.com

Publicité

Table des Matières
loading

Ce manuel est également adapté pour:

Vanguard 190000130000

Table des Matières