•
Petroli safi, freshi, yasiyo na isiyo na lead.
•
Kiwango cha chini cha 87 okteni/87 AKI (91 RON). Matumizi ya mwinuko wa juu,
tazama hapa chini.
•
Petroli iliyo na hadi ethanoli 10% (gasohol) inakubalika.
Notisi
Usitumie petroli isiyoidhinishwa, kama vile E15 na E85. Usichanaganye mafuta
kwenye petroli au kurekebisha injini ili kuendesha fueli mbadala. Usitumie fueli
isiyoidhinishwa itaharibu vipengele vya injini, ambavyo havitashughulikiwa chini ya
udhamini.
Ili kulinda mfumo wa fueli kutokana na utengenezaji wa gundi, changanya kiimarishaji cha
fueli kwenye fueli. Tazama Hifadhi . Fueli zote sio sawa. Iwapo matatizo ya kuanza au
utendakazi yatatokea, badilisha mtoaji fueli au badilisha chapa. Injini hii imeidhinishwa
kuendesha kutumia petroli. Mfumo wa kudhibiti uchafuzi wa injini hii ni EM (Marekebisho
ya Injini).
Mwinuko wa Juu
Katika mwinuko wa zaidi ya futi 5,000 (mita1524), kiwango cha chini cha okteni 85 /85 AKI
(89 RON) petroli inakubaliwa.
Kwa injini iliyo na kabureta, marekebisho ya mwinuko wa juu yanahitajika ili kudumisha
utendakazi. Oparesheni bila marekebisho unaweza kusababisha kupunguka kwa
utendakazi, matumizi ya fueli yalioongezeka, na uchafuzi ulioongezeka. Wasiliana na Mtoa
Huduma wa Briggs & Stratton Aliyeidhibishwa kwa maelezo ya marekebisho ya mwinuko
wa juu. Oparesheni wa injini katika mwinuko wa chini ya futi 2,500 (mita 762) na
marekebisho ya mwinuko wa juu hayapendekezwi.
Kwa injini za Uinjizaji wa Fueli wa Kielektriki (EFI), hakuna marekebisho ya mwinuko wa
juu yanahitajika.
Ongeza Mafuta
Tazama Kelelezo: 6
Onyo
Fueli na mvuke wako unawaka na kulipuka haraka sana.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha kuchomeka vikali au kifo.
Wakati wa kuongeza fueli
•
Zima injini na uruhusu injini kupoa angalau dakika 2 kabla ya kuondoa kifuniko cha
fueli.
•
Jaza tangi la fueli nje au katika eneo linaruhusu hewa kuingia vizuri.
•
Usijaze tangi la fueli kupita kiasi. Ili kuruhusu upanukaji wa fueli, usijaze kupita chini
ya shingo la tangi la fueli.
•
Hifadhi fueli mbali na cheche, miale iliyo wazi, taa za mwongozo, joto na vyanzo
vingine vya uwakaji.
•
Angalia tundu, tangi, kifuniko na kurekebisha mara kwa mara kwa nyufa na uvujaji.
Badilisha ikiwezekana.
•
Iwapo fueli itamwagika, subiri hadi ivukize kabla ya kuwasha injini.
1.
Safisha kifuniko cha fueli kutokana na uchafu. Ondoa kifuniko cha fueli.
2.
Jaza tangi la fueli kwa fueli (A, Kielelezo 6). Ili kuruhusu upanuzi wa fueli, usijaze
juu ya chini ya shingo la tangi la fueli (B).
3.
Sakinisha upya kifuniko cha fueli.
Washa na Uzime Injini
Tazama Kelelezo: 7, 8
Washa Injini
Onyo
Uvutaji nyuma wa haraka wa kamba ya kianzishi (kuvuta nyuma kwa haraka)
kutavuta mkono kuelekea kwenye injini haraka kuliko unavyoweza kuachilia.
Mifupa ilivyovunjika, kuvunjika kwa mifupa mikuuu, michubuko, mishtuko inaweza
kutokea.
•
Wakati wa kuwasha injini, vuta kamba ya kianzishi polepole hadi uhisi upinzani na
kisha vuta haraka ili kuzuia kurudi nyuma kwa haraka.
46
Onyo
Fueli na mvuke wake unawaka na kulipuka hara sana.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha kuchomeka vikali au kifo.
Wakati wa Kuwasha Injini
•
Hakikisha kuziba cheche, mafla, kifuniko cha fueli na kisafishaji cha hewa (iwapo
vipo) viko sawa na salama.
•
Usiwashe injini wakati kuziba cheche kimeondolewa.
•
Iwapo injini inamwaga mafuta, weka choki (iwapo ipo) kwenye eneo la FUNGUA au
ENDESHA, sogeza transfoma ndogo (iwapo ipo) kwenye eneo la HARAKA na uwashe
injini hadi ianze kuenda.
Onyo
MADHARA YA GESI YENYE SUMU. Eneo la injini la kutolea moshi lina monoksidi
kaboni, gesi yenye sumu ambayo inaweza kuua kwa dakika. HUWEZI kuiona,
kuinusa au kuionja. Hata kama huwezi kunusa mafusho yanayotolewa, unaweza
kufikia gesi ya monoksidi kaboni. Iwapo utaanza kuhisi, mgonjwa, kizunguzungu,
au mchovu wakati unatumia bidhaa hii, izime na uende eneo lenye hewa safi
MARA MOJA. Mwone Daktari. Unaweza kuwa na sumu ya monoksidi kaboni.
•
Endesha bidhaa hii nje TU mbali na madirisha, milango na tundu za kuingiza hewa
ili kupunguza hatari za gesi ya monoksidi kaboni kutokana na kukusanyika na kuweza
kuelekea katika maeneo yaliyo na watu.
•
Sakinisha ving'ora vya kutambua uwepo wa monoksidi kaboni vinavyoendeshwa na
betri pamoja na chelezo za betri kulingana na maelekezo ya mtengenezaji. Ving'ora
vya moshi haviwezi kutambua gesi ya monoksidi kaboni.
•
USIENDESHE bidhaa hii nyumbani, karakarani, sehemu ya chini ya majengo, maeneo
ya kutembelea kwenye majengo, vivulini, au maeneo mengine yaliyofunikwa nusu
hata kama unatumia feni au milango na madirisha yaliyofunguka kuruhusu hewa
kuingia. Monoksidi kaboni inaweza kukusanyika kwa haraka katika maeneo haya
na inaweza kukwama kwa saa, hata baada ya bidhaa hii kuzimwa.
•
KILA MARA weka bidhaa hii katika eneo lenye upepo na uelekeze eneo la kutolea
moshi la injini mbali na maeneo yaliyo na watu.
Notisi
Injini hii ililetwa kutoka Briggs & Stratton bila mafuta. Kabla uweze kuwasha
injini, hakikisha umeongeza mafuta kulingana na maelekezo kwenye mwongozo huu.
Iwapo utawasha injini bila mafuta, itaharibika hadi kushindwa kukarabatiwa na hutafidiwa
chini ya udhamini huu.
Kumbuka: Kifaa kinaweza kuwa na vidhibiti mbali. Tazama mwongozo wa kifaa kwa
utambuzi na uendeshaji wa vidhibiti mbali.
1.
Angalia mafuta ya injini. Tazama sehemu Kuangalia Kiwango cha Mafuta.
2.
Hakikisha vidhibiti vya kiendeshaji cha kifaa, iwapo vipo, vimetenganishwa.
3.
Sogeza fueli au wenzo wa moto (A, Kielelezo 7), ikiwa kipo, kwenye eneo la washa
au anza.
4.
Sogeza kidhibiti cha transfoma ndogo (B, Kielelezo 7), iwapo kipo, katika eneo la
haraka. Endesha injini ikiwa katika eneo la haraka.
5.
Sogeza kidhibiti cha choki (C, Kielelezo 7, 8) kwenye eneo la iliyofungwa.
Kumbuka: Kwa kawaida choki haihitajiki wakati wa kuwasha injini iliyochemka.
6.
Sukuma swichi ya kusimamisha (E, Kielelezo 8) iwapo ipo, kwenye eneo la washa.
7.
Vingirisha Anza, iwapo ipo: Kwa uthabiti shikilia kishikilio cha kamba ya kianzishi
(D, Kielelezo 7, 8). Vuta kamba ya kianzishi polepole hadi uhisi upinzani, kisha vuta
haraka.
Onyo
Uvutaji nyuma wa haraka wa kamba ya kianzishi (kuvuta nyuma kwa haraka) kutavuta
mkono kuelekea kwenye injini haraka kuliko unavyoweza kuachilia. Mifupa ilivyovunjika,
kuvunjika kwa mifupa mikuuu, michubuko, mishtuko inaweza kutokea. Wakati wa
kuwasha injini, vuta kamba ya kianzishi polepole hadi uhisi upinzani na kisha vuta haraka
ili kuzuia kurudi nyuma kwa haraka.
8.
Kianzishi cha Elektroniki, iwapo kipo: Geuza swichi ya kianzishi cha kielektroniki
(F, Kielelezo 8) kwenye eneo la washa/anza.
Notisi
Ili kurefusha maisha ya kianzishi, tumia misururu mifupi ya kuanzisha (kiwango
cha juu cha sekunde tano). Subiri dakika moja kati ya mizunguko inayoanza.
VanguardEngines.com