Briggs & Stratton 140000 Manuel D'utilisation page 46

Masquer les pouces Voir aussi pour 140000:
Table des Matières

Publicité

Les langues disponibles
  • FR

Les langues disponibles

  • FRANÇAIS, page 23
Shughulikia Mfumo wa Eneo la kutolea
moshi
Onyo
Injini inayoendesha inazalisha joto. Sehemu za injini, hususan mafla, huwa
moto zaidi.
Kuchomeka vikali kunaweza kusababishwa unapogusana nazo.
Uchafu unaoweza kuwaka, kama vile majani, nyasi, brashi n.k. unaweza
kushika moto.
• Ruhusu mafla, silinda na mapezi ya injini kupoa kabla ya kugusa.
• Ondoa uchafu uliokusanyika kutoka kwenye eneo la mafla na eneo la silinda.
• Ni ukiukaji wa Msimbo wa Rasilimali wa Umma wa California, Sehemu ya 4442,
kutumia au kuendesha injini katika eneo linazungukwa na msitu, lililozungukwa na
brashi, au lililo na nyasi isipokuwa mfumo wa eneo la kutolea moshi una kishika
cheche, kama ilivyofafanuliwa kwenye Sehemu ya 4442, iliyodumishwa kwenye
mpangilio wenye ufanisi wa kufanya kazi. Mamlaka mengine ya Majimbo au
shirikisho yanaweza kuwa sheria sawa. Wasiliana na mtengenezaji wa kifaa asili,
muuzaji wa rejareja, au mtoa huduma ili kupata kishika cheche kilichobuniwa kwa
mfumo wa eneo la kutolea moshi uliosakinishwa kwenye injini hii.
Ondoa uchafu uliokusanyika kutoka kwenye mafla na eneo la silinda. Kagua mafla kwa
nyufa, kutia kutu, au uharibifu mwingine. Ondoa kifaa cha kusonga au kishika cheche,
iwapo kipo, na ukague kwa uharibifu au uzuiaji wa kaboni. Iwapo uaribifu utapatikana,
sakinisha sehemu za ubadilishaji kabla ya kuendesha.
Onyo
Sehemu za ubadilishaji lazima ziwe sawa na zilizosakinishwa katika eneo sawa
kama sehemu asili. Sehemu zingine huenda zisitekeleze vilevile, zinaweza kuharibu
kitengo, na inaweza kusababisha majeraha.
Badilisha Mafuta ya Injini
Tazama Kielelezo: 11, 12, 13, 14
Onyo
Fueli na mvuke wake unawaka na kulipuka haraka sana.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha kuchomeka vikali au kifo.
Injini inayoendesha inazalisha joto. Sehemu za injini, hususan mafla, huwa
moto zaidi.
Kuchomeka vikali kunaweza kusababishwa unapogusana nazo.
• Unapomwaga mafuta kuotka kwenye bomba la juu la kuweka mafuta, tangi ya
fueli lazima iwe tupu au fueli inaweza kumwagika nje na kusababisha moto au
mlipuko.
• Ruhusu mafla, silinda na mapezi ya injini kupoa kabla ya kugusa.
Mafuta yaliyotumiwa bidhaa taka yenye madhara na lazima itupwe vizuri. Usitupe
pamoja na taka ya nyumbani. Wasiliana na mamlaka yako ya ndani, kituo cha usaidizi
au mtoa huduma kwa utupaji/kutumia upya salama kwa bidhaa.
Ondoa Mafuta
1.
Injini ikiwa bado ina joto, tenganisha waya ya kuziba cheche na uihifadhi mbali na
kuziba cheche (E) (D, Kielelezo 11).
2.
Ondoa kifaa cha kuangalia kiweango cha mafuta (F, Kielelezo 12).
3.
Ondoa kuziba ya kutoa mafuta (F, Kielelezo 13). Weka mafuta kwenye kontena
iliyoidhinishwa.
Kumbuka: Kuziba cheche yoyote ya kutoa mafuta inaweza kusakinishwa kwenye injini
(G, Kielelezo 13).
4.
Baada ya mafuta kutolewa, sakinisha na ukaze kuziba ya kutoa mafuta (F,
Kielelezo 13).
5.
Wakati unatoa mafuta kutoka kwenye tundu la juu la kuwekea mafuta (weka
kuziba cheche (E) mwishoni mwa injini juu (C, Kielelezo 14). Weka mafuta kwenye
kontena iliyoidhinishwa.
46
Onyo
Unapomwaga mafuta kutoka kwenye bomba la juu la kuweka mafuta, tangi ya fueli
lazima iwe tupu au fueli inaweza kumwagika nje na kusababisha moto au mlipuko. Ili
kutoa mfuta kwenye tangi ya fueli, endesha injini hadi isimame kutokana na ukosefu
wa fueli.
Badilisha Kichujio cha Mafuta, iwapo kipo
Baadhi ya modeli zina kichujio cha mafuta. Kwa vipindi vya ubadilishaji, tazama Ratiba
ya Udumishaji.
1.
Toa mafuta kutoka kwenye injini. Tazama eneo la Kuondoa Mafuta .
2.
Ondoa kichujio cha mafuta (H, Kielelezo 12) na ukitupe vizuri.
3.
Kabla usakinishe kichujio kipya cha mafuta, lainisha kiasi kwa kifaa cha kichujio
cha mafuta kwa mafuta freshi na safi.
4.
Sakinisha kichujio cha mafuta kwa mkono hadi kifaa kisgusane na adapta ya
kichujio cha mafuta, kisha kaza kichujuio cha mafuta kwa mizunguko 1/2 hadi 3/4.
5.
Ongeza mafuta. Tazama sehemu Ongeza Mafuta .
6.
Washa na uendeshe injini. Wakati injini inachemka, angali uvujaji wa mafuta.
7.
Zima injini na uangalie kiwango cha mafuta. Kiwango sahihi cha mafuta kiko
juu ya kiashiria kilichojaa kwenye kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (B,
Kielelezo 12).
Ongeza Mafuta
• Hakikisha injini iko katika kiwango.
• Safisha eneo la kujaza mafuta kutokana na uchafu wowote.
• Tazama Vipimo katika eneo la kiwango cha mafuta.
1.
Ondoa kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta na upanguse kwa kitambaa safi
(A, Kielelezo 12).
2.
Polepole weka mafuta kwenye eneo la kuweka mafuta la injini (C, Kielelezo 12).
Usijaze kupita kiasi Baada ya kuongeza mafuta, subiri dakika moja na kisha
angalia kiwango cha mafuta.
3.
Sakinisha na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 12).
4.
Ondoa kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta na uangalie kiwango cha mafuta.
Kiwango sahihi cha mafuta kiko juu ya kiashiria kilichojaa kwenye kifaa cha
kuangalia kiwango cha mafuta (B, Kielelezo 12).
5.
Sakinisha upya na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo
12).
6.
Unganisha waya ya kuziba cheche kwenye kuziba cheche (E), (D, Kielelezo 11).
Shughulikia Kichuja Hewa
Tazama Kielelezo: 15, 16
Onyo
Fueli na mvuke wake unawaka na kulipuka haraka sana.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha kuchomeka vikali au kifo.
• Kamwe usiwashe na kuendesha wakati uunganishaji wa kisafisha hewa (iwapo
kipo) au kichuja hewa (iwapo kipo) kimeondolewa.
Notisi
Usitumie hewa au majimaji yaliyoshinikizwa kusafisha kichujio. Hewa
iliyoshinikizwa inaweza kuharibu kichujio na majimaji yatayeyusha kichujio.
Tazama Ratiba ya Udumishaji wa mahitaji ya huduma.
Modeli mbalimbali aidha zinatumia povu au kichujio cha karatasi. Baadhi ya modeli pia
zinaweza kuwa na kisafishaji cha mwanzo cha hiari ambacho kinaweza kusafishwa na
kutumiwa tena. Linganisha mifano kwenye mwongozo na aina iliyosakinishwa kwenye
injini yako na ushughulikie kama ifuatavyo.
Kichujio cha Povu ya Hewa
1.
Sogeza kufuli ya kuslaidi katika sehemu ya kufungua (A, Kielelezo 15) na ufungue
kifuniko (B).
2.
Ili kuzuia uchafu kutokana na kuanguka kwenye kabureta, kwa makini ondoa
elementi ya povu kwenye sehemu ya chini ya kichuja hewa, (C, Kielelezo 15).
3.
Safisha elementi ya povu kwenye sabuni oevu na maji (C, Kielelezo 15). Finyiza ili
kukausha elementi ya povu kwenye kitambaa safi.
4.
Koleza elementi ya povu kwa mafuta safi ya injini (C, Kielelezo 15). Ili kuondoa
mafuta ya ziada ya injini, finyiza elementi ya povu kwenye kitambaa safi.
BRIGGSandSTRATTON.COM

Publicité

Table des Matières
loading

Table des Matières