Murray 866079-00 Manuel Utilisateur page 90

Table des Matières

Publicité

Les langues disponibles
  • FR

Les langues disponibles

  • FRANÇAIS, page 38
BRIGGS & STRATTON POWER PRODUCTS GROUP, L.L.C. SERA YA UDHAMINI YA MMILIKI
Briggs & Stratton Power Products Group, LLC itakarabati au badilisha, bila ya malipo, sehemu yoyote ilio na shida katika
vifaa au operesheni au zote. Udhamini huu una madhubuti na iko halali kwa muda na masharti yaliyosemwa hapo chini.
Kwa huduma ya udhamini, tafuta muuzaji aliyethibitishwa karibu na wewe katika ramani iliyo kwenye tovuti yetu ya www.
BriggsandStratton.com or www.Murray.com.
Hakuna udhamini wowote wa moja kwa moja. Udhamini uliorejelewa, ukiwemo huo wa kuuzika na kuwepo kwa kusudio
fulani, ni finyu kwenye kipindi cha udhamini kilichoorodheshwa hapa chini, au kufikia kiwango kinachoruhusiwa na sheria.
Hasara inayotokana na uharibifu wa kisadfa au unaosababishwa na sababu zinazojulikana hazijajumuishwa kwenye kiwan-
go cha kutojumuishwa ambacho kinaruhusiwa na sheria.
Baadhi ya mataifa au nchi haziruhusu ufinyu wa kwa muda gani udhamini uliorejelewa unadumu, na baadhi ya mataifa au
nchi haziruhusu kutojumuishwa au upungufu wa hasara ya sadfa au inayotokana na hali fulani, ili upungufu uliotajwa hapo
juu na kutojumuishwa huenda kusitumike kwako. Udhamini huu unakupa haki mahsusi za kisheria na unaweza pia kuwa
na haki nyingine ambazo zinaweza kutofautiana kutoka katika taifa hadi taifa au nchi hadi nchi.
KIPINDI CHA UDHAMINI
Kipindi cha udhamini huanza tarehe ya ununuzi ya duka la kwanza au biashara la kwanza, na inaendelea kwa kipindi cha
muda kilichoelezwa hapo juu. "Matumizi ya mtumizi" yanamaamisha matumizi ya nyumbani anapoishi mtu binafsi na mtumizi
rejareja. "Matumizi ya kibiashara" yanamaanisha matumizi yote mengine, yakiwemo matumizi ya kibiashara, makusudio ya
kuzalisha mapato au kukodisha. Pindi tu bidhaa imepitia matumizi ya biashara, itaweza kuchukuliwa kuwa bidhaa ya matumizi
ya kibiashara kwa makusudio ya udhamini huu.
USAJILI WA BIDHAA HAUHITAJIKI KUPATA HUDUMA YA UDHAMINI WA BIDHAA ZA BRIGGS & STRATTON. WEKA
RISITI YA KUONYESHA ULINUNUA. KAMA HUNA USHAHIDI WA TAREHE ULIONUNUA BIDHAA WAKATI UTAHITAJI
KUTUMIA UDHAMINI, TAREHE BIDHAA ILITENGENEZWA ITATUMIKA KUAMUA KIPINDI CHA UDHAMINI.
KUHUSU UDHAMINI WAKO
Marekebisho nyingi ya udhamini yanafanwya mara kwa mara, lakini wakati mwingine maombi ya huduma ya udhamini yanawe-
za kuwa sio sahihi. Udhamini huu unajumuisha tu kasoro katika vifaa au uundaji wa bidhaa hizi. Haijumuishi hasara au uharibifu
unaosababishwa na matumizi yasiyofaa au matumizi mabaya, ukarabati usiofaa au utengenezaji, kuchujuka kwa kawaida au
mafuta mabaya au ambayo hayajaidhinishwa.
Matumizi Mabaya na Dhuluma - Matumizi sahihi ya bidhaa hii yameelezwa katika Mwongozo wa fundi. Kwa kutumia bidhaa
hii kwa njia ambayo haijafafanuliwa katika Kabrasha la Mtumiaji au kwa kutumia bidhaa hii baada ya kuharibika hakutajumuish-
wa katika udhamini huu. Kujumuishwa kuwa udhamini huu hakutaweza kutolewa pia kama nambari ya usajili kwenye bidhaa hii
imeondolewa au bidhaa hii ina kasoro au imebadilishwa kwa njia yoyote, au kama bidhaa hii inayo ithibati ya matumizi mabaya
kama vile uharibifu mbaya au uharibifu unaotokana na kuchunjika kwa maji/kemikali.
Ukarabati au Urekebishaji Mbaya- Bidhaa hii lazima ikarabatiwe kwa mujibu wa taratibu na ratiba zinazotolewa katika mwon-
gozo wa fundi, na kuhudumiwa au kurekebishwa kwa kutumia sehemu halisi za Briggs & Stratton. Uharibifu unaosababishwa
na ukosefu wa ukarabati au matumizi ya vipuri viso-asilia haujajumuishwa katika udhamini huu.
Kuchujuka kwa Kawaida - Kama mitambo mingi ya kiufundi, kitengo chako kitaweza kuchujuka ata kikikarabatiwa kwa njia
sahihi. Udhamini huu haujumuishi ukarabati wakati ambapo matumizi ya kawaida yamesababisha kuchujuka kwa sehemu ya
mtambo huu au mtambo wowote. Ukarabati na vitu vinavyochujuka kama vile vichungio, mishipi, mundu(blades) za kukatia, na
padi za breki (isipokuwa padi za breki za injini) vyote havijajumuishwa kwenye udhamini kutokana na kipengele cha kuchujuka
pekee, isipokuwa endapo sababu itakuwa kasoro kwenye nyenzo au utengenezwaji wake.
Mafuta yaliyoharibika - Ili kufanya kazi kwa usahihi, bidhaa hii inahitaji mafuta safi yanayotii mpangilio uliobainishwa kwenye
Kabrasha la Mtumiaji. Uharibifu uliosababishwa na mafuta yaliyoharibika(uvujaji wa kabureta, kuzibwa kwa tubu za mafuta,
valvu zilizokwama, na kadhaliki) hazijazingatiwa na udhamini.
18
UDHAMINI
UDHAMINI PUNGUFU
MATUMIZI YA KIBINAFSI - MIAKA 2
MATUMIZI YA KIBIASHARA - SIKU 90
www.murray.com

Publicité

Table des Matières
loading

Ce manuel est également adapté pour:

866081-00866083-00866084-00866085-00866086-00866087-00

Table des Matières