9.6 Ukarabati wa Magurudumu
Angalau mara moja kwa msimu, sisima gololi katika kila
gurudumu na mafuta isiyo nzito.
9.7 Uhifadhi
9.7.1 Uhifadhi kwa Muda Mfupi
Mashine inaweza kuhifadhiwa kwa muda mfupi (chini ya siku
15) bila kufanya ukarabati wowote wa kuhifadhi.
Hata hivyo kabla ya kuweka mashine katika eneo la kuhifadhi,
fuata hatua zifuatazo:
1. Zima mafuta wakati umemaliza kukata nyasi kama injini iko
valvu ya kuzima.
2. Wacha injini ipoe kabisa.
3. Hakikisha mfuko wa nyasi hauna kitu ndani.
4. Safisha mashine kabisa, pamoja na injini.
5. Weka mashine kwa ardhi tambarare ikiwa imesimama.
6. Hifadi katika nyumba salama ambayo haipatikani na watoto
au watu ambao hawajui kuitumia
7. Eneo la kuhifadhi lazima iwe na hewa ya kutosha bila hatari
ya mvuke kutoka kwa mafuta kupata cheche yoyote, moto au
cheche za umeme.
8. Unashauriwa kutumia kiimarishaji cha mafuta ili kulinda
tenki ya mafuta na injini, hasa wakati wa kutumia mafuta iliyo
na ethanoli (max E10).
9. Ili upunguze athari ya moto, weka injini, kifaa cha
kunyamazisha eksozi, na mazingira ya kuhifadhi petroli bila
nyasi, majani, au grisi nyingi.
9.7.2 Hifadhi Mashine kwa Muda Ulioongezwa
!
ONYO! Mafuta na mvuke wake unaweza kuwaka moto
haraka sana na kulipuka. Moto au mlipuko unaweza
kusababisha majeraha mabaya ya moto au kifo.
BIDHAA
Oili ya Injini
Kisafishaji cha hewa
Spaki Plagi
Ubapa, Adapta ya Ubapa,
Inayoosha Ubapa,
Komeo ya Ubapa
Deki ya Mashine ya
Kukatia Nyasi
*Badilisha mafuta kila baada ya masaa 25 wakati kazi ni nyingi au joto iko juu.
** Safisha mara nyingi zaidi katika mazingira yenye vumbi au palipo na vifusi vya hewani.
VIFAA VYA HUDUMA
Kagua kiwango ya Mafuta
Mbadilisho wa kwanza wa
mafuta ya injini
Mbadilisho wa mara kwa
mara wa mafuta ya injini
Safisha au Badilisha
Badilisha
Kagua Uchakavu, Uharibifu
na Kubadilisha
Safisha Uchafu
Uliokusanyika
- Usiwahi toa kifuniko kwa tenki ya mafuta au kuongeza
mafuta wakati injini inatumika au wakati injini iko moto.
- Jaza au toa mafuta tu katika eneo iliyo na usambazaji wa
hewa vizuri.
- Usivute sigara au kuruhusu moto au cheche katika aidha
mazingira ambayo tenki inajazwa au kutolewa mafuta au
mahali mafuta imehifadhiwa.
1. Mwaga mafuta kutoka kwa tenki; wacha injini ikinguruma
hadi petroli iishe;
• Usiwahi kuwacha mashine ikinguruma bila wewe kuwa hapo
karibu.
• Tumia tu katika eneo iliyo na usambazaji wa hewa vizuri.
• Ikiwa tanki la mafuta lazima likaushwe, litapaswa
kukaushwa nje ya nyumba.
2. Mwishoni mwa kila msimu, badilisha mafuta ya injini na
mafuta safi (usibadilishe kwa injini za Briggs & Stratton
za modeli ya Exi - kwa injini hizo, Kagua tu na uongeze ili
uhakikishe kwamba mafuta ya injini yamedumishwa kwa
kiwango ya juu. Ili ubadilishe mafuta, fuata maelekezo katika
mwongozo wa opereta wa injini.
3. Safisha mashine kabisa, pamoja na injini, ukizingatia sana
makazi ya injini na mapezi ya kupoesha silinda.
4.Ipanguze deki kabisa ili ulinde rangi.
5.Weka mashine kwa ardhi tambarare ikiwa imesimama.
6.Hifadi katika nyumba salama ambayo haipatikani na watoto
au watu ambao hawajui kuitumia.
7.Eneo la kuhifadhi lazima iwe na hewa ya kutosha.
8.Ili upunguze athari ya moto, weka injini, kifaa cha
kunyamazisha eksozi, na mazingira ya kuhifadhi petroli bila
nyasi, majani, au grisi nyingi.
9.8 Utaratibu wa Ukarabati
Kufanya ukarabati wa kawaida kwa usahihi kwa mashine yako
itahakikisha matumizi salama na ya kuaminika. Fuata ratiba
ya ukarabati ifuatayo:
KILA
Masaa 5
MATUMIZI
X
X
X
X
Masaa 25
Masaa 50
X*
X**
Masaa 100
X
15