Télécharger Imprimer la page

LifeWave X39 Mode D'emploi page 6

Publicité

Les langues disponibles
  • FR

Les langues disponibles

  • FRANÇAIS, page 3
MAELEZO KWA AJILI YA MATUMIZI
Weka kiraka cha LifeWave X39® katika moja ya
maeneo yaliyooneshwa ukurasa wa 11. Kiraka hiki
huwekwa mwilini asubuhi, juu ya ngozi safi na
iliyokaushwa vizuri. Matumizi ya kiraka hiki yasizidi
masaa 12. Kiraka hiki kitumike mara moja tu. Unywe
maji ya kutosha wakati wa matumizi ya kiraka hiki.
Onyo: Ondoa mara moja ikiwa husikii vizuri au madhara kwenye ngozi
yakitokea. Usitumie kiraka tena mara kinapoondolewa kwenye ngozi.
Kwa matumizi ya nje tu. Usimeze. Usitumie kwenye majeraha au ngozi
iliyoharibiwa. Uliza mtaalamu wa afya kabla ya kutumia kama una hali ya
kiafya, maswali yoyote au wasiwasi kuhusu afya yako. Usitumie ikiwa una
mimba au uuguzi.
P 6
HATUA YA KWANZA (1)
Onesha eneo la mwili unalotaka
kulisisimua/kuchochea.
HATUA YA PILI (2)
Toa ushanga na kiraka kutoka
katika mfuko wake. Ondoa
sehemu ya kiraka iliyounganishwa
ili kutenganisha na sehemu ya
kiraka yenye gundi/wambisho.
Weka ushanga wa plastiki katikati
ya kiraka, kwenye upande wenye
gundi/wambisho.
HATUA YA TATU (3)
Chukua ushanga wa plastiki
uliyogundishwa/wambishwa
katikati ya kiraka, uweke juu ya
sehemu ya mwili umetoka vizuri.
Hakikisha sehemu ya kiraka yenye
gundi/wambisho, inashikana
vizuri na ngozi bila kuacha nafasi
/ mi kunjo. Kiraka na ushanga
vikandamizwe kiasi / kwa wastani,
juu ya eneo la msisimuko.

Publicité

loading

Produits Connexes pour LifeWave X39