2.
Tumia koleo kubana vichupo (B, Kielelezo 12) kwenye vibanio (C), ) kisha
telezesha vibanio kutoka kwenye kichujio cha fueli (A). Zungusha na uvute njia za
mfuta (D) kutoka kwenye kichujio cha mafuta.
3.
Kagua njia za mfuta (D, Kielelezo 12)ili uone kamakuna nyufa au uvujaji. Badilisha
kama itahitajika.
4.
Badilisha kichujio cha mafuta (A, Kielelezo 12) kwa kichujio halisi cha kubadilisha
sehemu.
5.
Linda njia za mfuta (D, Kielelezo 12) kwa vibanio (C) kama inavyoonyeshwa.
Shughulikia Mfumo wa Kupoesha
Onyo
Injini inayoendesha inazalisha joto. Sehemu za injini, hususan mafla, huwa
moto zaidi.
Kuchomeka vikali kunaweza kusababishwa unapogusana nazo.
Uchafu unaoweza kuwaka, kama vile majani, nyasi, brashi, n.k., unaweza
kushika moto.
• Ruhusu mafla, silinda na mapezi ya injini kupoa kabla ya kugusa.
• Ondoa uchafu uliokusanyika kutoka kwenye eneo la mafla na eneo la silinda.
Notisi
Usitumie maji kusafisha injini. Maji yanaweza kuchafua mfumo wa fueli.
Tumia brashi au kitambaa kilichokauka kusafisha injini.
Hii ni injini inayopoeshwa na hewa. Uchafu unaweza kuzuia mtiririko wa hewa na
kusababisha injini kuchemka kupita kiasi, na kusababisha utendakazi mbaya na
kupunguza maisha ya injini.
1.
Tumia brashi au kitambaa kilichokauka kuondoa uchafu kutoka kwenye grili ya
kuingiza hewa.
2.
Weka uhusiano, springi na vidhibiti safi.
3.
Weka ene lililo karibu na nyuma ya mafla, iwapo ipo, huru kutokana na uchafu
wowote unaoweza kuwaka.
4.
Hakikisha mapezi ya kupoesha mafuta, iwapo yapo, yako huru kutokana na
uchafu.
Baada ya kipindi cha muda, uchafu unaweza kukusanyika kwenye mapezi ya
kupoesha silinda na kusababisha injini kuwa moto kushinda kiasi. Uchafu huu hauwezi
kuondolewa bila kutokusanyika kwa kiasi fulani kwa injini. Ruhusu Mtoa Huduma wa
Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa kukagua na kusafisha mfumo wa kupoesha hewa
kama ilivyopendekezwa kwenye Ratiba ya Udumishaji.
Hifadhi
Onyo
Mafuta na mvuke wake unaweza kuwaka moto na kulipuka kwa haraka sana.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha majeraha mabaya kuchomeka au kifo.
Wakati wa Kuhifadhi Mafuta Au Kifaa Kilicho na Mafuta Kwenye Tangi
• Hifadhi mbali na tanuu, stovu, hita za kuchemshia maji, au vitu vingine ambavyo
vina taa za moto au vyanzo vya mwako kwa sababu vinaweza kuwasha moto
kwenye mvuke wa mafuta.
Mfumo wa Mafuta
Tazama Kielelezo: 13
Hifadhi kiwango cha injini (mkao wa kawaida wa kuendesha). Jaza tangi la mafuta (A,
Kilelezo 13) kwa mafuta. Ili kuruhusu uvukizi wa mafuta, usijaze kupita chini ya shingo
ya tangi la mafuta (B).
Mafuta yanaweza kuharibika yanapohifadhiwa katika kontena ya uhifadhi kwa zaidi ya
siku 30. Kila mara unapojaza kontena kwa mafuta, ongeza kiimarishaji mafuta kwenye
mafuta kama ilivyobainishwa na maagizo ya mtengenezaji. Hii inafanya mafuta kukaa
yakiwa safi na kupunguza matatizo yanayohusiana na mafuta au uchafu katika mfumo
wa mafuta.
Si lazima umwage mafuta kutka kwenye injini wakati kiimarishaji mafuta kinapoongezwa
kama ilivyoagizwa. Kabla ya kuendesha, WASHA injini kwa dakika 2 ili kueneza mafuta
na kiimarishaji kote kwenye mfumo wa mafuta.
Ikiwa petroli ndani ya injini haijatibiwa kwa kiimarishaji mafuta, ni lazima imwagwe
kwenye kontena iliyoidhinishwa. Endesha injini hadi isimame kutokana na ukosefu wa
mafuta. Matumizi ya kiimarishaji mafuta kwenye kontena ya uhifadhi yanapendekezwa ili
kudumisha usafi.
46
Mafuta ya Injini
Wakati injini bado ina joto, badilisha mafuta ya injini. Tazama sehemu Kubadilisha
Mafuta ya Injini.
Utafutatuzi
Kwa usaidizi, wasiliana na mhudumu wa karibu au nenda kwenye
VanguardEngines.com au piga 1-800-999-9333 (Marekani).
Vipimo
Modeli: 290000, 300000
Umbali
Kuzalisha
Mpigo
Kiwango cha Mafuta
Nafasi ya Kuziba Cheche
Toku ya Kuziba Cheche
Nafasi ya Koili inayozunguka ya Hewa
Uingizaji wa Vali ya Kuingiza hewa
Vali ya kutolea moshi Kusafisha
Modeli: 350000
Umbali
Kuzalisha
Mpigo
Kiwango cha Mafuta
Nafasi ya Kuziba Cheche
Toku ya Kuziba Cheche
Nafasi ya Koili inayozunguka ya Hewa
Uingizaji wa Vali ya Kuingiza hewa
Vali ya kutolea moshi Kusafisha
Modeli: 380000
Umbali
Kuzalisha
Mpigo
Kiwango cha Mafuta
Nafasi ya Kuziba Cheche
Toku ya Kuziba Cheche
Nafasi ya Koili inayozunguka ya Hewa
Uingizaji wa Vali ya Kuingiza hewa
Vali ya kutolea moshi
Nguvu ya injini itapungua kwa 3.5% kwa kila futi 1,000 (mita 300) usawa wa bahari na
1% kwa kila faranehaiti 10° (nyuzi 5.6° C) zaidi ya faranehaiti 77° (nyuzi 25° C). Injini
itaendesha kwa kuridhisha katika pembe ya hadi 15°. Rejelea mwongozo wa mhudumu
wa kifaa cha kwa viwango salama vinavyoruhusiwa kwenye mteremko.
Sehemu ya Huduma -
Modeli: 290000, 300000, 350000, 380000
Sehemu ya Huduma
Kichujio cha Hewa (isipokuwa Modeli 358700/380000
Kichujio cha Hewa (Modeli 358700, 380000)
Kichujio cha Hewa Kisafishaji awali (isipokuwa Modeli za
358700, 380000)
Kichujio cha Hewa Kisafishaji awali (Modeli za 358700,
380000)
Mafuta - SAE 30
Kichuja Hewa
Kichujio cha Fueli - tanki la fueli
29.23 ci (479 cc)
2.677 in (68 mm)
2.598 in (66 mm)
46 - 48 oz (1,36 - 1,42 L)
.030 in (,76 mm)
180 lb-in (20 Nm)
.008 - .012 in (,20 - ,30 mm)
.004 - .006 in (,10 - ,15 mm)
.004 - .006 in (,10 - ,15 mm)
34.78 ci (570 cc)
2.835 in (72 mm)
2.756 in (70 mm)
46 - 48 oz (1,36 - 1,42 L)
.030 in (,76 mm)
180 lb-in (20 Nm)
.008 - .012 in (,20 - ,30 mm)
.004 - .006 in (,10 - ,15 mm)
.004 - .006 in (,10 - ,15 mm)
38.26 ci (627 cc)
2.972 in (75,5 mm)
2.756 in (70 mm)
46 - 48 oz (1,36 - 1,42 L)
.030 in (,76 mm)
180 lb-in (20 Nm)
.008 - .012 in (,20 - ,30 mm)
.004 - .006 in (,10 - ,15 mm)
.004 - .006 in (,10 - ,15 mm)
Nambari ya Sehemu
394018
692519
272490
692520
100028
842921
808116
VanguardEngines.com