Briggs & Stratton 190000 Manuel D'utilisation page 44

Table des Matières

Publicité

Les langues disponibles
  • FR

Les langues disponibles

  • FRANÇAIS, page 22
Hifadhi kiwango cha injini (mkao wa kawaida wa kuendesha). Jaza tangi la mafuta (A,
Kilelezo 15) kwa mafuta. Ili kuruhusu uvukizi wa mafuta, usijaze kupita chini ya shingo
ya tangi la mafuta (B). 
Mafuta yanaweza kuharibika yanapohifadhiwa katika kontena ya uhifadhi kwa zaidi ya
siku 30. Kila mara unapojaza kontena kwa mafuta, ongeza kiimarishaji mafuta kwenye
mafuta kama ilivyobainishwa na maagizo ya mtengenezaji. Hii inafanya mafuta kukaa
yakiwa safi na kupunguza matatizo yanayohusiana na mafuta au uchafu katika mfumo
wa mafuta.
Si lazima umwage mafuta kutka kwenye injini wakati kiimarishaji mafuta kinapoongezwa
kama ilivyoagizwa. Kabla ya kuendesha, WASHA injini kwa dakika 2 ili kueneza mafuta
na kiimarishaji kote kwenye mfumo wa mafuta.
Ikiwa petroli ndani ya injini haijatibiwa kwa kiimarishaji mafuta, ni lazima imwagwe
kwenye kontena iliyoidhinishwa. Endesha injini hadi isimame kutokana na ukosefu wa
mafuta. Matumizi ya kiimarishaji mafuta kwenye kontena ya uhifadhi yanapendekezwa ili
kudumisha usafi. 
Mafuta ya Injini
Wakati injini bado ina joto, badilisha mafuta ya injini. Tazama sehemu Kubadilisha
Mafuta ya Injini.
Utafutatuzi
Kwa usaidizi, wasiliana na mhudumu wa karibu au nenda kwenye
BRIGGSandSTRATTON.com au piga 1-800-233-3723 (Marekani).
Vipimo
Modeli: 190000 
Umbali 
Kuzalisha 
Mpigo 
Kiwango cha Mafuta 
Nafasi ya Kuziba Cheche 
Toku ya Kuziba Cheche 
Nafasi ya Koili inayozunguka ya Hewa 
Uingizaji wa Vali ya Kuingiza hewa 
Uondoaji wa Vali ya Eneo la Kutolea
moshi 
Modeli: 250000 
Umbali 
Kuzalisha 
Mpigo 
Kiwango cha Mafuta 
Nafasi ya Kuziba Cheche 
Toku ya Kuziba Cheche 
Nafasi ya Koili inayozunguka ya Hewa 
Uingizaji wa Vali ya Kuingiza hewa 
Uondoaji wa Vali ya Eneo la Kutolea
moshi 
 Nguvu ya injini utapungua kwa 3.5% kwa kila futi 1,000 (mita 300) juu ya mwinuko
wa bahari na 1% kwa kila 10° F (5.6° C) juu ya 77° F (25° C). Injini itaendesha kwa
kuridhisha katika pembe ya hadi 15°. Rejelea mwongozo wa kifaa Operator's kwa
viwango salama vinavyoruhusiwa kwenye mteremko. 
Sehemu ya Huduma - Modeli: 190000, 250000 
 Sehemu ya Huduma 
Kichujio cha Hewa, Karatasi
(Modeli 190000, Kielelezo 12) 
Kichujio cha Hewa, Karatasi
(Modeli 190000, Kielelezo 13) 
Kichujio cha Hewa, Povu ((Modeli 190000,
Kielelezo 14) 
Kichujio cha Hewa, Karatasi
(Modeli 250000, Kielelezo 12) 
44
 18.67 ci (306 cc) 
 3.228 in (82 mm) 
 2.283 in (58 mm) 
 35 - 39 oz (1,05 - 1,15 L) 
 .030 in (,76 mm) 
 275 lb-in (31 Nm) 
 .008 - .016 in (,2 - ,4 mm) 
 .005 - .007 in (,13 - ,18 mm) 
 .005 - .007 in (,13 - ,18 mm) 
 25.63 ci (420 cc) 
 3.543 in (90 mm) 
 2.598 in (66 mm) 
 35 - 39 oz (1,05 - 1,15 L) 
 .030 in (,76 mm) 
 275 lb-in (31 Nm) 
 .008 - .016 in (,2 - ,4 mm) 
 .005 - .007 in (,13 - ,18 mm) 
 .005 - .007 in (,13 - ,18 mm) 
 Nambari ya Sehemu 
 491588 
 592605 
 591778 
 491588 
Sehemu ya Huduma - Modeli: 190000, 250000 
Kichujio cha Hewa, Karatasi
(Modeli 250000, Kielelezo 13) 
Kichujio cha Hewa, Povu ((Modeli 250000,
Kielelezo 14) 
Kuziba Cheche (Kizuiaji) 
Kuziba Cheche (Si Kizuiaji) 
Kifaa kinachotumiwa kutega Kuziba
Cheche 
Kijaribio cha Cheche 
 Tunapendekeza kuwa umwone Mtoa Huduma yeyote wa Briggs & Stratton
Aliyeidhinishwa kwa udumishaji na huduma zote za injini na sehemu za injini. 
Ukadiriaji wa Nishati: Ukadiriaji wa pato la nishati kwa kila modeli ya injini ya petroli
imewekwa alama kwa kuzingatia SAE (Jumuiya ya Wahandisi wa Magari) msimbo
J1940 Nishati ya Injini Ndogo & Utaratibu wa Ukadiriaji wa Toku, na umekadiriwa
kwa kuzingatia SAE J1995. Thamani ya toku inafikia 2600 RPM kwa injini hizi kwa
"rpm" iliyowekwa kwenye lebo na 3060 RPM kwa vingine vote; thamani ya nishati ya
chaja inafikia 3600 RPM. Vizingo vya mapato ya nishati vinaweza kutazamwa katika
www.BRIGGSandSTRATTON.COM. Thamani halisi ya nishati inachukuliwa kwa eneo la
injini la kutolea injini na kisafishaji wa injini iliyosakinishwa ambapo thamani ya mapato
ya injini yanakusanywa bila viambatisho hivi. Mapato halisi ya nishati ya injini yatakuwa
juu kuliko nishati ya injini na yanaathiriwa na, miongoni mwa mambo mengine, hali
iliyoko ya kuendesha na utofauti wa injini hadi nyingine. Kwa kuwa mpangilio mpana
wa bidhaa ambayo injini imewekwa, injini ya petroli inaweza kuwa na mapato ya nishati
iliyokadiriwa wakati inatumika katika kifaa fulani cha nishati. Tofauti hii inatokana na
sababu mbalimbali zikijumuisha, lakini zisizokithi kwa, vijenzi mbalimbali vua injini
(kisafishaji cha hewa, eneo la injini la kutolea moshi, pampu ya fueli n.k.), upungufu wa
utekelezaji, hali zilizoko za kuendesha (hali joto, unyevunyevu, mwinuko), na utofauti wa
injini hadi injini. Kutokana na upungufu wa utengenezaji na viwango, Briggs & Stratton
inaweza kubadilisha injini na nishati iliyokadiriwa juu kwa injini hii.
Udhamini
Hakikisho la Injini ya Briggs & Stratton
Kuanzia Januari 2019 
Hakikisho lenye Kipimo 
Briggs & Stratton inatoa hakikisho kwamba, wakati wa kipindi cha hakikisho
kilichobainishwa hapa chini, itafanyia ukarabati au kubadilisha, bila malipo, sehemu
yoyote ambayo ina matatizo katika nyenzo au ufanyakazi au yote mawili. Gharama
za usafirishaji bidhaa zilizowasilishwa ili kufanyiwa ukarabati au kubadilishwa chini ya
hakikisho hili ni lazima zigharimiwe na mnunuzi. Hakikisho hili linatumika na liko chini ya
vipindi vya muda na masharti yaliyoelezwa hapa chini. Ili kupata huduma ya hakikisho,
tafuta Muuzaji Huduma Aliyeidhinishwa aliye karibu zaidi nawe kwenye ramani yetu ya
kutafuta wauzaji kwenye BRIGGSandSTRATTON.COM. Ni lazima mnunuzi awasiliane
na Muuzaji Huduma Aliyeidhinishwa, na kisha apeleke bidhaa kwa Muuzaji Huduma
huyo Aliyeidhinishwa ili kufanyiwa ukaguzi na majaribio. 
Hakuna hakikisho lingine la haraka. Hakikisho zilizoashiriwa, ikiwa ni pamoja
na lile wa uuzaji na uzima kwa ajili ya dhumuni fulani, zina kipimo cha kipindi
cha hakikisho kilichoorodheshwa hapa chini, au kwa kiasi kilichoruhusiwa
na sheria. Dhima ya uharibifu wa kimatukio au unaotokana na jambo jingine
haijajumuishwa kwa kiasi kinachoruhusiwa na sheria. Baadhi ya majimbo au nchi
haziruhusu vipindi vya hakikisho kuwekewa vipimo, na baadhi ya majimbo au nchi
haziruhusu kutojumuishwa au kipimo cha uharibifu wa kimatukio au unaotokana na
jambo jingine, kwa hivyo kipimo na kutojumuishwa huku huenda hakukuhusu wewe.
Udhamini huu hupeana haki maalum za kisheria na pia unaweza kuwa na haki zingine
ambazo zinatofautiana kutoka kwenye jimbo hadi jingine na nchi hadi nyingine 
 Masharti Wastani ya Udhamini 
Vanguard®; Msururu wa Kibiashara 
Matumizi ya Kibinafsi - Miezi 36
Matumizi ya Kibiashara - Miezi 36
Msururu wa XR 
Matumizi ya Kibinafsi - Miezi 24
Matumizi ya Kibiashara - Miezi 24
Injini Nyingine Zote Zenye Mkono wa Kalibu ya Chuma ya Dura-Bore™ 
Matumizi ya Kibinafsi - Miezi 24
Matumizi ya Kibiashara - Miezi 12
Injini Nyingine Zote 
Matumizi ya Kibinafsi - Miezi 24
 799818 
 591778 
 797235 
 798615 
 19605 
 19368 
1, 2, 3
  
 3 
  
BRIGGSandSTRATTON.com
 4 

Publicité

Table des Matières
loading

Ce manuel est également adapté pour:

250000

Table des Matières