3.
Baada ya injini kusimama, sogeza kizima fueli iwapo kipo, katika eneo la
IMEFUNGWA, (A, Kielelezo 5).
Udumishaji
Notisi
Iwapo injini imeinamishwa wakati wa udumishaji, tangi la fueli, iwapo liko
kwenye injini, lazima liwe tupu na upande wa kuziba cheche lazima uwe juu. Iwapo
tangi la fueli sio tupu na iwapo injini imeinamishwa katika mwelekeo mwingine,
inaweza kuwa vigumu kuwaka kwa sababu ya mafuta au petroli kuchafua kuchuja
hewa na/au kuziba cheche.
Onyo
Wakati unapotekeleza udumishaji unaohitaji kitengo kuinamishwa, tangi la fueli,
iwapo limewekwa kwenye injini, lazima liwe tupu au fueli inaweza kumwagika nje na
kusababisha moto au mlipuko.
Tunapendekeza kuwa umwone Mtoa Huduma yeyote wa Briggs & Stratton
Aliyeidhinishwa kwa udumishaji na huduma zote za injini na sehemu za injini.
Notisi
Vijenzi vyote vilivyotumiwa kujenga injini hii lazima visalie sawa kwa
uendeshaji bora.
Onyo
Cheche zisizotarajiwa zinaweza kusababisha moto au mshtuko wa kielektriki.
Uwashaji usiotarajiwa unaweza kusababisha kunaswa, kukatwa kwa viungo
kwa kiwewe, au majeraha makali ya ukataji wa ngozi.
Madhara ya moto
Kabla ya kutekeleza marekebisho au ukarabati:
• Tenganisha waya ya kuziba cheche na uhifadhi mbali na kuziba cheche.
• Tenganisha betri katika mwisho wa chanya (injini zilizo na kiwashaji wa kielektriki
tu.)
• Tumia zana sahihi tu.
• Usihitilifiane na springi ya kithibiti, viunganishi au sehemu zingine ili kuongeza kasi
ya injini.
• Sehemu za ubadilishaji lazima ziwe sawa na zilizosakinishwa katika eneo sawa
kama sehemu asili. Sehemu zingine huenda zisitekeleze vilevile, zinaweza
kuharibu kitengo, na inaweza kusababisha majeraha.
• Usigonge gurudumu la kuongeza kasi ya injini kwa nyundo au kifaa kigumu
kwa sababu gurudumu la kuongeza kasi ya injini linaweza kuvunjika wakati wa
kuendesha.
Wakati wa kujaribu cheche:
• Tumia kijaribio cha kuziba cheche kilichoidhinishwa.
• Usikague injini wakati kuziba cheche imeondolewa.
Huduma ya Udhibiti wa Mafukizo
Udumishaji, ubadilishaji, au ukarabati wa vifaa na mifumo ya kudhibiti mafukizo
unaweza kutekelezwa na kituo chochote au mtu yeyote wa kukarabati injini. Hata
hivyo, ili kupata huduma ya kudhibiti mafukizo ya "bila malipo", ni lazima kazi ifanywe na
mtoa huduma aliyeidhinishwa na kiwanda. Tazama Taarifa ya Udhibiti wa Mafukizo.
Ratiba ya Udumishaji
Saa 5 za Kwanza
• Badilisha mafuta
2
Kila Baada ya Saa 8 au Kila siku
• Angalia kiwango cha mafuta ya injini
• Safisha maeneo yaliyo karibu na mafla na vidhibiti
• Safisha grili ya kuingiza hewa
Kila Baada ya Saa 25 au Kila mwaka
• Safisha kichuja chewa
1
• Safisha kisafishaji cha mwanzo
Kila Baada ya Saa 50 au Kila mwaka
• Badilisha mafuta ya injini
3
• Badilisha kichujio cha mafuta (iwapo kipo)
• Shughulikia Mfumo wa Eneo la kutolea moshi
1
3
Kila Baada ya Saa 100 au Kila mwaka
• Badilisha mafuta ya injini
4
• Badilisha kichujio cha mafuta (iwapo kipo)
Kila mwaka
• Badilisha kuziba cheche
• Badilisha kichujio cha hewa
• Badilisha kisafishaji cha mwanzo
• Badilisha kichuja fueli
• Shughulikia mfumo wa kupoesha
• Angalia uondoaji wa vali
5
1
Katika hali ya vumbi au uchafu unaosambazwa na hewa upo, safisha mara kwa
mara.
2
Injini zisizo na kichujio cha mafuta pekee.
3
Injini isiyo na kichujio cha mafuta au yenye kichujio wastani cheusi cha mafuta
(tazama ukurasa wa Vipimo kwa nambari ya sehemu).
4
Injini zisizo na kichujio cha manjano cha hali ya juu au cha chungwa (tazama
ukurasa wa Vipimo kwa nambari ya sehemu).
5
Haihitajiki isipokuwa matatizo ya utenda kazi wa injini yametambuliwa.
Mfumo wa Elektroniki wa Kudhibiti Fueli
Mfumo wa Udhibiti Fueli wa Eletroniki hufuatilia halijoto ya injini, kasi, na volteji ya betri
ili kurekebisha choki wakati wa kuanzisha injini na kupasha joto. Hakuna marekebisho
kwenye mfumo. Matatizo ya kuanza au uendeshaji yakitokea, wasiliana na Mhudumu
Aliyeidhinishwa wa Briggs & Stratton.
Notisi
Hakikisha kuwa umefuata hatua zilizo hapa chini au huenda Udhibiti Fueli
wa Eletroniki umeharibika.
• Usiwahi kuanza injini kebo za betri zikiwa zimelegea.
• Geuza ufunguo upande wa kuzima kabla ya kutenganisha, kuondoa na / au
kusakinisha betri.
• Usiwahi kutumia chaja ya betri kuanzisha injini.
• Usiwahi kutenganisha kebo za betri huku injini ikiwa inafanya kazi.
• Unapounganisha kebo za betri, kwanza unganisha kebo chanya (+) kisha
uunganishe kebo hasi (-) kwenye betri.
• Unapochaji betri, geuza swichi ya moto upande wa kuzima na utenganishe kebo
hasi ya betri (-) kutoka kwenye betri.
• Usinyunyize maji moja kwa moja kwenye Kitengo cha Kidhibiti cha Elektroniki.
Kabureta na Kasi ya Injini
Kamwe usifanye marekebisho kwenye kabureta au kasi ya injini. Kabureta iliwekwa
kwenye kiwanda kufanya kazi kwa ufanisi chini ya masharti mengi. Usihitilafiane na
springi ya kidhibiti, uhusiano au sehemu nyingine ili kubadilisha kasi ya injini. Iwapo
marekebisho yoyote yanahitajika wasiliana na Mtoa Huduma wa Briggs & Stratton
Aliyeidhinishwa kwa huduma.
Notisi
Mtengenezaji wa kifaa hubainisha kasi ya juu ya injini kama ilivyosakinishwa
kwenye kifaa. Usizidi kasi hii. Iwapo huna uhakika kasi ya juu ya kifaa hiki ni ipi, au
kasi ya injini imewekwa kwa kutoka kwenye kiwanda, wasiliana na Mtoa Huduma wa
Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa kwa usaidizi. Kwa oparesheni salama na sahihi ya
kifaa, kasi ya injini inafaa kurekebishwa na mtaalam wa huduma aliyehitimu tu.
Shughulikia Kuziba Cheche
Tazama Kielelezo: 6
Angalia nafasi iliyo (A, Kielelezo 6) na kipimo (B). Iwapo ni muhimu, weka upya nafasi.
Sakinisha na ukaze kuziba cheche katika toku iliyopendekezwa. Kwa uwekaji wa nafasi
au toku, tazama Vipimo sehemu .
Kumbuka: Katika baadhi ya maeneo, sheria ya ndani huhitaji kutumia kuziba cheche
ambayo haipitishi nishati ili kupunga ishara za kuwaka. Iwapo injini hii ilikuwa na kuziba
cheche ambayo haipitishi nishati mwanzoni, tumia aina sawa kwa ubadilishaji.
4
1
45